Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

5.9-Magnitude Earthquake Strikes Off Tanzania, EMSC Says


In 2017, a magnitude 5.7 earthquake at the border with Uganda and Rwanda near Lake Victoria in northern Tanzania killed at least 13 people and injured 203.

A 5.9-magnitude earthquake has occurred off the Tanzanian coast, the European-Mediterranean Seismological Centre (EMSC) said.
The quake took place about 77 kilometres (48 miles) southeast of Dar es Salaam at a depth of 10 kilometres (6 miles). There have been no immediate reports about damages or casualties caused by the earthquake.

1597264999673.png
 
Kama nawaona hali ya hewa wakipitiapitia hiz comments apa hlf kesho watoe mjumuisho.
 
Mpaka huku uwanja wa fisi nilipokuwa nakula lishangazi limepita, hadi nkasahau kuvaa boksa wakati nakimbia nikizani hili lishangazi linataka kunyanyua kitanda ili nilifukie
 
Shetani alikuwa anapita kumcheki yule raia wa ubeligiji anayetaka urais wa Tanzania
 
nimelishuhudia hata mimi..nilikuwa kwa bed nikisikiliza nyimbo kupitia simu yng ya kiganjani..ndipo nikahisi kitanda kina shake ndani ya sekunde kama 7-10 kwa makadirio yang..
Mbezi-kimara , mida ya saa 2 za uck
 
Kama nawaona hali ya hewa wakipitiapitia hiz comments apa hlf kesho watoe mjumuisho.
Hali ya hewa na matetemeko wapi na wapi ?Ma geologist/seismologist ndo wanahusiana na matetemeko.
 
Nampigia mama mtoto na simu haipatikani. Tumetoka kuongea dakika kadhaa nyuma. Check on ur loved ones.

Edit: Thank God she is fine. And like me, hajafeel kitu mpaka alipoambiwa.
Uache kula tunda kimasihara usije ukamuua kwa ngoma
 
Tetemeko Nalo limeona lije kuchukua fomu Sio nyinyi tu kila siku🤪🤦🏃
 
Mimi nilikuwa kitandani nikasikia natetemeshwa niliruka aisee sikujua nina spidi vile, hofu ikanijaa nikaanza kukagua chumba nawaza what was that, acha nianze kukemea nikajua labda mapepo baada ya muda kidogo ndo napata simu kwamba kuna tetemeko limepita
 
Back
Top Bottom