Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Haya mambo yako kiupendeleo,nimesubiri sana hapa Singida lakini sioni cha tetemeko wala nini,sasa ngoja oktoba 28.
 
Wakuu, tetemeko huwa lina kawaida ya kujirudia tena ndani ya masaa 24 ktk eneo ambalo limepita. Watu wa maghofani tafadhari mchukue tahadhari zote, ili lisije kutokea la kutokea.
 
Toeni taarifa mamlaka ya hali ya hewa walifuatilie wajue limeelekea wapi lisije leta madhara
 
Haya mambo yako kiupendeleo,nimesubiri sana hapa Singida lakini sioni cha tetemeko wala nini,sasa ngoja oktoba 28.
Wakati tuko shule tulimtania mwalimu subtopic ya Earthquake haina practical
Akasema This Is Tanzania anything can happen[emoji848]
 
Aisee jana nilicheck movie inaitwa the quake mara leo nimekaa nashangaa naanza kutetema mimi hadi kikombe, leo nilikuwa na mpango wa kucheck the wave inayohusu tsunami nimeona bora nighailishe kwanza isije kesho naamka najikuta bandarini.
 
Hii ni ishara kua mwanaume Tundu Lissu anachukua nchi💪💪
 
Laizer aache kuchimbachimba. Bil 7 hazimtoshi[emoji35]. Atakuja atuue
Kumbe Roma Mkatoliki ana ID humu! Cheki kaiba comment yangu[emoji23][emoji23]. Cheki time difference ya post yangu na yake
Screenshot_20200812-222714_WhatsApp.jpg
 
Nilijihisi raha kweli yani kwanza nilioua na ganzi ya k vant kichwani alafu nilikua nimekaa sehemu nzuri kimya and nasikiliza ladipoe ft simi nikahis kama kiti kinavutwa gafla nikasema uu utani ***** nani anavuta kiti mpka anatetemesha mwili, nikasema nikae sawa labda pombe likaja tena ndo akili ikasema hili tetemeko *****
 
Back
Top Bottom