Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

tumelipata sote,
nauliza wanajografia nini maana ya tetemeko nini sababu ya tetemeko?
 
Nimesafiri.. natumaini kunyumba kwangu Masaki, Dar pako salama wandugwu..
 
wadau Kuna tetemeko limepita hivi punde ; vipi salama huko?
Mbezi halijapita
Sijui limepita shortcut ipi hadi kufka moro maana njia ya moro inapita mbezi
Asa sijui limepita njia gan@😂😂😂😂
 
Nampigia mama mtoto na simu haipatikani. Tumetoka kuongea dakika kadhaa nyuma. Check on ur loved ones.

Edit: Thank God she is fine. And like me, hajafeel kitu mpaka alipoambiwa.
Fuatilia mkuu asije akawa tayari kaumaliza mwendo huko
 
Ata hapa moshi limekatiza Mda huu itakua ni Africa nzima
 
Habari zenu wakuu Leo tarehe 12 mwezi wa 8 saa 2:14 usiku limepita tetemeko maeneo mengi hapa Dar .ubungo tegeta kigamboni na mengine mengi. watabiri wa hali ya hewa mliliona hili na Je halitajirudia tena hapo badae ?

"Mwache Mungu aitwe Mungu."
Litarudi tu kwasababu Dsm,ni belt of earthquake.Earthquake ni common sana maeneo yaliyopitiwa na Rift valley nk
 
Back
Top Bottom