babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Kuna tetemeko limetokea mida limechukua kama sekunde 30.,hii hali mie imenikuta nikiwa magomeni mlio maeneo mengine ya jiji la DSM mmepatwa pia na hii hali.??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kishindo cha awamu ya 5 hicho..
Kweli kabsa muheza limepitaNilikuwa natafuta nani anatingisha kochi ndio napata simu Muheza limepiga kubwa kiasi
Unakaa Kitunda shule?Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
Ishawahi kutokea 2009 au 10, nilikuwa kinondoni majira ya saa sita na thread ipo humu pia.Mimi hapa kunajambo nawaza spati jibu kabisa kuhusu tetemeko kupita dar!!!!!
pole huwezi kuishi japan wewe kule linapiga nazani kila baada ya mwezi ila yanakuwaga madogo madogo ukanda wa japan wanasema katika kile kipande cha dunia kinachokatika kipande kikubwa kipo japanNimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Limetikisa hapa mbweni......dah!Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro