Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Mwananyamala limepita. Ingawa sikulihisi wala kulisikia. Nimesikia kelele nje nimetoka nimekuta watu wanaongelea hilo swala
 
Ni saa mbili na dakika 16, nikiwa nimejilaza ndani ghafla kitanda kikaanza kutikisika kwa nguvu, ardhi inavibrate, nikatoka speed, ile nmefika tu mlangoni naona wapangaji wenzangu wanatoka mbio huku tukiwa hatusemeshani.

Limedumu kwa dakika kama moja hivi.

Vipi huko kwenu ?
 
Nampigia mama mtoto na simu haipatikani. Tumetoka kuongea dakika kadhaa nyuma. Check on ur loved ones.

Edit: Thank God she is fine. And like me, hajafeel kitu mpaka alipoambiwa.
 
Back
Top Bottom