Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya Kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
 
Sio poaaaa. Nipo Kinondoni hapa, nilikaa kwenye kiti ghafla kiti kikaa kushake. Mbio nilizotimua hapa sio poa
 
Back
Top Bottom