Mmejenga juu mabomba ya gesi? Mbona hatariDuh mimi pia limepita hapa wazo nikajua mabomba ya gesi ya kiwanda.
Limepita maeneo ambayo Kuna Chadema wengiMikocheni halijapita
Tuko salama,Kuna nyepesi nyepesi nasikia linaelekea Dodoma( chamwino)wadau Kuna tetemeko limepita hivi punde ; vipi salama huko?
Limepita huku uswahilini kwetu tuMikocheni halijapita
Mbezi halijapitawadau Kuna tetemeko limepita hivi punde ; vipi salama huko?
Fuatilia mkuu asije akawa tayari kaumaliza mwendo hukoNampigia mama mtoto na simu haipatikani. Tumetoka kuongea dakika kadhaa nyuma. Check on ur loved ones.
Edit: Thank God she is fine. And like me, hajafeel kitu mpaka alipoambiwa.
Litarudi tu kwasababu Dsm,ni belt of earthquake.Earthquake ni common sana maeneo yaliyopitiwa na Rift valley nkHabari zenu wakuu Leo tarehe 12 mwezi wa 8 saa 2:14 usiku limepita tetemeko maeneo mengi hapa Dar .ubungo tegeta kigamboni na mengine mengi. watabiri wa hali ya hewa mliliona hili na Je halitajirudia tena hapo badae ?
"Mwache Mungu aitwe Mungu."
nimefanya kazi sec kwemkabara hapoKwemkabara nasikia hali ilikuwa tete
ni muda muafaka wa kuwavuta geto na kuwala kimasihara sasaCBE HOSTEL watoto wamekimbia kama vichaaa balaa
Nimechezeshwa hapa kumbe tetemeko mweeeWakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro