Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Hii ndio inaitwa Kishindo awamu ya 5. 20:16 Kijichi limetekenya
 
Msamvu hapa tetemeko limepiga nilikuwa kwenye bus yaani limemwaga hadi maziwa yangu.
 
Uzi uko speed ya aina yake. Mimi nimelishudia live kwa mara ya kwanza nikiwa nje nimesimama , ila kwa huku bunju dar limepita kwa sekunde chache mno. Nadhani chini ya sekunde maybe.
 
Tanzania has had: (M1.5 or greater)

1 earthquake in the past 24 hours

1 earthquake in the past 7 days

2 earthquakes in the past 30 days

11 earthquakes in the past 365 days

The largest earthquake in Tanzania:

today: 5.9 in Kilindoni, Pwani, Tanzania

this week: 5.9 in Kilindoni, Pwani, Tanzania

this month: 5.9 in Kilindoni, Pwani, Tanzania

this year: 5.9 in Kilindoni, Pwani, Tanzania
 
Acheni uoga nyie wanaume wa Dar, sisi tetemeko lililotokea tunaamshana kwenda shambani.
 
Waliokutwa kwenye mtanange wa wakubwa jamani hamkusikia?

Naona hakuna anayesema alikuwa ana pump
 
Kilindoni ni wapi mkuu
 
Tetemeko dogo limetokea usiku huu saa mbili na dakika ishirini eneo la Mbagala Dar es Salaam, hslikuwa na madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…