Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Taarifa yake hiyo
Screenshot_20200812-204736.jpg
 
Hadi media za nje zimeweka lkn mamlaka yetu haijaweza kusoma kwenye mfumo ni kwa kiwango gani
 
Uchumi wa Kati una uhusiano gani na mambo ya tetemeko. Nonsense kabisa!
huwezi elewa nachomaanisha. nchi haiwezi kuwa uchumi wa kati na haina acces to correct and timely information in advance. kwa maana TMA Kazi yake ni nini? utabiri wa hali ya hewa maana yake nini? unajua madhara ya earthquakes? unafikiri nazungumza siasa ama? pathetic fool wewe QUOTE="Iselamagazi, post: 36329333, member: 55522"]
Uchumi wa Kati una uhusiano gani na mambo ya tetemeko. Nonsense kabisa!
[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom