Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Haiwezekani hizi ni njama za mabeberu hizi we lini ulisikia sinza kuna tetemeko?
Leo nilikuwa USA lilipiga la kutosha tu nahisi ni njama za waarabu wa Beirut😂😂😂😂
 
Mtaalamu wa Geologia anasema hili tetemeko lililopita leo likielekea nchi Jirani. Limetokea Beirut kwenye Ule Mlipuko Bandarini. Likawa linapita chini kwa chini kuelekea huko mbele litakalokomea.

Wadau ndo tufahamu kuwa milipuko tu hii ya kawaida inakuwa hivi je Atomic au Nyuklia Bom litakuaje? Tusije shabikia kabisa haya mabomu.

Nyie mnakumbuka ule mlipuko wa mabomu mbagala hadi Ubungo kulicheza? Mnakumbuka mlipuko wa mabomu Balozi ya USA Dar ilitikisika?

Haya...msije sema hamkuambiwa.
 
Back
Top Bottom