Tetemeko mjini Arusha

Tetemeko mjini Arusha

Mla Bata

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
7,841
Reaction score
17,491
Wasalaam,

Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?

Wasalamu.

1721156190782.png
 
Wasalaam,

Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushinda kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 am almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya , Siwandeti, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?

Wasalamu.
Acha vitendo vya kuzibua mitaro! Nimesikia Rchuga mnataka kuwapiku Zanzibar na Tanga
 
Wasalaam,

Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushinda kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 am almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya , Siwandeti, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?

Wasalamu.
Ndio tarehe zake izi
 
Niko

Niko kwa bed naskia kitandan kina shake nikapotezea maeneo ya selian
 
Wasalaam,

Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya , Siwandeti, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?

Wasalamu.
Sehemu kubwa ya Arusha limepita.
 
Back
Top Bottom