Tetemeko mjini Arusha

Tetemeko mjini Arusha

Katika kumbukumbu zangu hili ni dogo kipindi cha nyuma ilikiwa inavunja vyombo kwenye kabati Wakawa wanasema Mlima Lengai au Oldonyo Lengai Mizimu ya Kimasai inahitaji tambiko na kweli ilikuwa wakifanya inatulia
 
Wasalaam,

Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya , Siwandeti, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?

Wasalamu.

Tetemeko imetokea kwel mpaka maeneo ya huku ngaramtoni juu ni kubwa mno afu lipo slow motion
 
Katika kumbukumbu zangu hili ni dogo kipindi cha nyuma ilikiwa inavunja vyombo kwenye kabati Wakawa wanasema Mlima Lengai au Oldonyo Lengai Mizimu ya Kimasai inahitaji tambiko na kweli ilikuwa wakifanya inatulia
Aisee haya mambo kumbe yapo?
 
Back
Top Bottom