Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

woowoooo hoyaaaa kiko wapi kumbe changa nilijua tu hakuna kitu pale hoyaaaaaa.kimenuka kumbe mashauzi yote yale wamelamba milion 200 tu nyingine wamewapatia wazee wa jiji chezea bongo na zari ujue uku ndio bongo,POLE SANA ZARI JAMANII. na hii ishu ni kweli tupu mi pia nimeipata yote. KIKO WAPI? MTAJIBEBA

Wivu umekujaa
 
Jamani kama ni kweli mi mbona ata hizo million 200 BADO naziona nyingi sana Au ni vile sina
 
Huhitaji kuwa na akili nyingi kubaini kilicho andikwa ni uwongo!

Zari ,Diamond ,Fela na Babu Tale si wajinga kiasi hiki kama unavyo jaribu kuwaaminisha watu! Na wala Ruge si mwizi kiasi hiki unacho jaribu kuonesha!

Na uzuri umesema ni tetesi ni wazi huu ni uzushi kama uzushi mwingine na wala party haikufika 700Million!
 
Huhitaji kuwa na akili nyingi kubaini kilicho andikwa ni uwongo!

Zari ,Diamond ,Fela na Babu Tale si wajinga kiasi hiki kama unavyo jaribu kuwaaminisha watu! Na wala Ruge si mwizi kiasi hiki unacho jaribu kuonesha!

Na uzuri umesema ni tetesi ni wazi huu ni uzushi kama uzushi mwingine na wala party haikufika 700Million!

Hakuna uwizi hapa ni biashara tu.....Zari na Diamond hawakua tayari ku take risk so wakaamua wachukua mzigo wao mapema...
 
huhitaji kuwa na akili nyingi kubaini kilicho andikwa ni uwongo!

Zari ,diamond ,fela na babu tale si wajinga kiasi hiki kama unavyo jaribu kuwaaminisha watu! Na wala ruge si mwizi kiasi hiki unacho jaribu kuonesha!

Na uzuri umesema ni tetesi ni wazi huu ni uzushi kama uzushi mwingine na wala party haikufika 700million!

ndio mjue kuwa mlioenda kwenye hiyo sijui white party mlikuwa pale ubavu wa ruge, mtakalia kuuza sura tu, na bado
 
Wanajamii.

I hope mko vizuri jumamosi hii. Jana ile party iliyokuwa inasuburiwa kwa hamu EAST AFRICA nzima ZALI ALL WHITE PARTY ambayo ilifanyika pale Superbrand Hall Mlimani City Beibee....lol

Issue iko hivi originally hiyo party ilikuwa na ya mwana dada Zarina Hassan a.k.a The Boss Lady...alikuja bongo akiamini hiyo show ni yake exclusively na atakua fully incharge na mapato ya party nzima....kama mtakumbuka matangazo ya mwanzo ya party hii yalikua kama yamedorora flani hivi yani yalikuwa yamekosa SPARK sasa kama kawa Kijana Ruge Wa Mawingu akimtuma Bwana Mdogo Seba akachonge na Zari ili wazee wa Mawingu wanunue hiyo show nzima then jukumu la promotion na maandalizi yote waachiwe wao....Kijana Seba akakutana na Zari pamoja na Diamond pale Kilimanjaro Hotel na kuwapa offer ya Milioni 100 yaani wachukue huo mpunga then mambo mengine wawaachie wao...Mrembo akagoma kabisa kwani aliamini hiyo party inaweza ikamwingizia kama Milioni 500 so hakuwa tayari....Seba ikabidi arudi kwa Ruge na kumwambia The Boss Lady Amekataa hiyo offer...Ruge ikabidi awa face Zari na Diamond yeye mwenyewe na habari zisizo za uhakika zinasema Zari na Diamond walikubali kuchukua Milioni 200 na kuuza hiyo party kwa wazee wa Mawingu......kwahiyo mapato yote yaliyopatikana jana usiku yanayokadiriwa kuwa Milioni 700 yalienda kwa the Don mwenyewe.


Jamani hizi ni tetesi tu.Disclaimer...lol


Kutokana maswali mengi yanayohusu mchanganuo wa mapato wa Milioni 700 nimelazimika kuweka mchanganua huo hapa chini.

Ukumbi wa Mlimani City una uwezo wa kuchukua watu waliokaa 'seating capacity' ELFU MBILI NA MIA TANO ( 2,500 People).

Jumla Tiketi za Tzs 3,000,000 ( VVIP Table) zilizouzwa ni 100 only = (3,000,000 x 100 = 450,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 1,000,000 (VIP Table) zilizouzwa ni 120 only = ( 1,000,000 X 120 = 120,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 100,000 zilizouzwa ni 570 only = ( 100,000 x 570 = 57,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 50,000 zilizouzwa ni 1,563 only = ( 50,000 X 563 = 78,150,000).


Shikamoo Ruge/Shikamoo Diamond/Shikamoo Zari

Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.
 
ruge kabeba mkwanja wote,mtajibeba

Mkwanja hautusaidii mkuu!
Hata mkwanja wa Kiba haukunufaishi vile vile. Cha msingi ni kuona wasanii wa kitanzania wanainuka na wanapata support zetu kama watanzania.
Inapotokea sisi wenyewe wadau tunawajengea wasanii kinyongo kisichokuwa na msingi, lazima awepo wa kukemea au kushauri.
Kimsingi mkwanja kila mtu anao wa kwake na ana mbinu zake za kuutafuta!
Tuache wivu na mabifu yasiyo na mbele wala nyuma!
 
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.
Teh Teh na
Hapo ndio muongo hukamatika kabisa!
Na amesahau kulikuwa na ticket nyingi za mualiko tuu hasa kwa media na watangazaji !
 
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh
 
Kwa hiyo wote walioenda kwa zari jana walinunuliwa na ruge ebwanaee hatari,yaani promo lote lile kaambulia mil.200? Hatari mond na zari inabidi waandamane kwani huu ni ufisadi mwingine. Ila ruge anajua sana
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh

Chimunguru acha upimbi pale uwanja wa taifa hakujawahi kuwa na ticket ya Milioni Tatu toka historia ya nchi hii...kwenye party ya Zari kiingilio cha chini kilikua ni Tzs 50,0000 wakati uwanja wa taifa hata Tzs 3,000 unaingia...go back to school otherwise usije na bullshit arguments
 
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh

Hapo ndio utaamini kuna viwanda vya uongo na si wote walio ingia walilipia ticket..
 
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.

hizi shule za kata hizi na division 5 ni majanga kwa Tanzania, yaani mtu anakurupuka tu mahesabu yake bila kichwa wala miguu kama katoka chooni vile hata hajanawa na kuja kurusha uzi wa kijinga hivi.. kawadanganye wajinga wenzako ambao hawajui biashara.
kuna mapato na matumizi plus TRA watataka pesa yao pia ya kodi..
shule za kata ni majanga kwa taifa na kizazi hiki.
 
nyie team mond fanyeni hesabu zenu zote sijui, kujumlisha,kutoa.kuzidisha, kugawanya,book keeping,kipenyo nk. lakini imekula kwenu poleni sana jaribuni tena siku nyingine.K4REAL
 
mtoa mada acha upotishaji bwana tuckets za mil 3 ni kumi tu.
 
Back
Top Bottom