Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)


Wivu umekujaa
 
Jamani kama ni kweli mi mbona ata hizo million 200 BADO naziona nyingi sana Au ni vile sina
 
Huhitaji kuwa na akili nyingi kubaini kilicho andikwa ni uwongo!

Zari ,Diamond ,Fela na Babu Tale si wajinga kiasi hiki kama unavyo jaribu kuwaaminisha watu! Na wala Ruge si mwizi kiasi hiki unacho jaribu kuonesha!

Na uzuri umesema ni tetesi ni wazi huu ni uzushi kama uzushi mwingine na wala party haikufika 700Million!
 

Hakuna uwizi hapa ni biashara tu.....Zari na Diamond hawakua tayari ku take risk so wakaamua wachukua mzigo wao mapema...
 

ndio mjue kuwa mlioenda kwenye hiyo sijui white party mlikuwa pale ubavu wa ruge, mtakalia kuuza sura tu, na bado
 

Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.
 
ruge kabeba mkwanja wote,mtajibeba

Mkwanja hautusaidii mkuu!
Hata mkwanja wa Kiba haukunufaishi vile vile. Cha msingi ni kuona wasanii wa kitanzania wanainuka na wanapata support zetu kama watanzania.
Inapotokea sisi wenyewe wadau tunawajengea wasanii kinyongo kisichokuwa na msingi, lazima awepo wa kukemea au kushauri.
Kimsingi mkwanja kila mtu anao wa kwake na ana mbinu zake za kuutafuta!
Tuache wivu na mabifu yasiyo na mbele wala nyuma!
 
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.
Teh Teh na
Hapo ndio muongo hukamatika kabisa!
Na amesahau kulikuwa na ticket nyingi za mualiko tuu hasa kwa media na watangazaji !
 
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh
 
Kwa hiyo wote walioenda kwa zari jana walinunuliwa na ruge ebwanaee hatari,yaani promo lote lile kaambulia mil.200? Hatari mond na zari inabidi waandamane kwani huu ni ufisadi mwingine. Ila ruge anajua sana
 
Reactions: dtj
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh

Chimunguru acha upimbi pale uwanja wa taifa hakujawahi kuwa na ticket ya Milioni Tatu toka historia ya nchi hii...kwenye party ya Zari kiingilio cha chini kilikua ni Tzs 50,0000 wakati uwanja wa taifa hata Tzs 3,000 unaingia...go back to school otherwise usije na bullshit arguments
 
Uwanja wa taifa watu 60000 pesa kubwa inayopatokana m500 lile hall pale la harusi m700 duh

Hapo ndio utaamini kuna viwanda vya uongo na si wote walio ingia walilipia ticket..
 
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.

hizi shule za kata hizi na division 5 ni majanga kwa Tanzania, yaani mtu anakurupuka tu mahesabu yake bila kichwa wala miguu kama katoka chooni vile hata hajanawa na kuja kurusha uzi wa kijinga hivi.. kawadanganye wajinga wenzako ambao hawajui biashara.
kuna mapato na matumizi plus TRA watataka pesa yao pia ya kodi..
shule za kata ni majanga kwa taifa na kizazi hiki.
 
nyie team mond fanyeni hesabu zenu zote sijui, kujumlisha,kutoa.kuzidisha, kugawanya,book keeping,kipenyo nk. lakini imekula kwenu poleni sana jaribuni tena siku nyingine.K4REAL
 
mtoa mada acha upotishaji bwana tuckets za mil 3 ni kumi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…