Aaagh mkichangia pesa za party za harusi, sendoff etc mnalipa kodi?
Kwa uelewa wangu ticcket ya mil 3 unapata meza ya watu 8... Wakati ticket ya mil 1 unapata keza ya watu wa 4
Kwa hesabu zako kama ticket za mil 3 zilikuwa 150 basi jumla ya waliongia kupitia ticket hizo ni watu 1200(150*8)
Kwa ticket za mil 1 kwa hesabu zako kama zilikuwa 120 basi walioingia walikuwa 480(120*4)
So jumla ya VIP tickets tu ni watu 1680(1200+480)
Haya chukua tickets za elfu 50 na laki 1 ambazo hizi ni za mtu mmoja mmoja ambapo kwa hesabu zako kwa za elfu 50 zimeuzwa 1563 na za laki 1 zimeuzwa 570 inakuwa ni 2133(1563+570)
Ukichukua jumla ya watu wa VIP tickets na tickets za kawaida unapata total ya watu 3813 afu wewe unatuambia ukumbi wa mlimani city unachukua watu 2500 tu
Sasa jombaa rudi utengeneze tena hizi hesabu zako
Zingatia Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond alipohojiwa na Millardy Ayo alisema tickets za mil 3 zilikuwa 6 tu
WanaJamii,
I hope mko vizuri jumamosi hii. Jana ile party iliyokuwa inasuburiwa kwa hamu EAST AFRICA nzima ZALI ALL WHITE PARTY ambayo ilifanyika pale Superbrand Hall Mlimani City Beibee....lol
Issue iko hivi originally hiyo party ilikuwa na ya mwana dada Zarina Hassan a.k.a The Boss Lady...alikuja Bongo akiamini hiyo show ni yake exclusively na atakua fully incharge na mapato ya party nzima....kama mtakumbuka matangazo ya mwanzo ya party hii yalikua kama yamedorora flani hivi yani yalikuwa yamekosa SPARK sasa kama kawa Kijana Ruge wa Mawingu akimtuma Bwana Mdogo Seba akachonge na Zari ili wazee wa Mawingu wanunue hiyo show nzima then jukumu la promotion na maandalizi yote waachiwe wao..
Kijana Seba akakutana na Zari pamoja na Diamond pale Kilimanjaro Hotel na kuwapa offer ya Milioni 100 yaani wachukue huo mpunga then mambo mengine wawaachie wao...Mrembo akagoma kabisa kwani aliamini hiyo party inaweza ikamwingizia kama Milioni 500 so hakuwa tayari....Seba ikabidi arudi kwa Ruge na kumwambia The Boss Lady Amekataa hiyo offer...
Ruge ikabidi awa face Zari na Diamond yeye mwenyewe na habari zisizo za uhakika zinasema Zari na Diamond walikubali kuchukua Milioni 200 na kuuza hiyo party kwa wazee wa Mawingu......Kwahiyo mapato yote yaliyopatikana jana usiku yanayokadiriwa kuwa Milioni 700 yalienda kwa the Don mwenyewe.
Jamani hizi ni tetesi tu. Disclaimer...lol
=======Update===
Kutokana maswali mengi yanayohusu mchanganuo wa mapato wa Milioni 700 nimelazimika kuweka mchanganua huo hapa chini.
Ukumbi wa Mlimani City una uwezo wa kuchukua watu waliokaa 'seating capacity' Elfu mbili na mia tano ( 2,500 People).
Jumla Tiketi za Tzs 3,000,000 ( VVIP Table) zilizouzwa ni 150 only = (3,000,000 x 150 = 450,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 1,000,000 (VIP Table) zilizouzwa ni 120 only = ( 1,000,000 X 120 = 120,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 100,000 zilizouzwa ni 570 only = ( 100,000 x 570 = 57,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 50,000 zilizouzwa ni 1,563 only = ( 50,000 X 563 = 78,150,000).
HAYO NI MAKADIRIO YA MAPATO TU
Shikamoo Ruge/Shikamoo Diamond/Shikamoo Zari
Kwa uelewa wangu ticcket ya mil 3 unapata meza ya watu 8... Wakati ticket ya mil 1 unapata keza ya watu wa 4
Kwa hesabu zako kama ticket za mil 3 zilikuwa 150 basi jumla ya waliongia kupitia ticket hizo ni watu 1200(150*8)
Kwa ticket za mil 1 kwa hesabu zako kama zilikuwa 120 basi walioingia walikuwa 480(120*4)
So jumla ya VIP tickets tu ni watu 1680(1200+480)
Haya chukua tickets za elfu 50 na laki 1 ambazo hizi ni za mtu mmoja mmoja ambapo kwa hesabu zako kwa za elfu 50 zimeuzwa 1563 na za laki 1 zimeuzwa 570 inakuwa ni 2133(1563+570)
Ukichukua jumla ya watu wa VIP tickets na tickets za kawaida unapata total ya watu 3813 afu wewe unatuambia ukumbi wa mlimani city unachukua watu 2500 tu
Sasa jombaa rudi utengeneze tena hizi hesabu zako
Zingatia Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond alipohojiwa na Millardy Ayo alisema tickets za mil 3 zilikuwa 6 tu
woowoooo hoyaaaa kiko wapi kumbe changa nilijua tu hakuna kitu pale hoyaaaaaa.kimenuka kumbe mashauzi yote yale wamelamba milion 200 tu nyingine wamewapatia wazee wa jiji chezea bongo na zari ujue uku ndio bongo,POLE SANA ZARI JAMANII. na hii ishu ni kweli tupu mi pia nimeipata yote. KIKO WAPI? MTAJIBEBA
Huwa hazifiki kiwango cha kulipia kodi plz hebu nimstue Waziri kuwa kuna hela yetu inaenda Uganda bila kodi. Mwigulu Nchemba plz hili linaruhusiwa kweli ndio maana mdola unapanda daily
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.
Hivi kirefu cha Ruge si ndo Rugemalira?
Du waliotoa M3 watakuwa wamerogwa na nani? Shetani mweupe kawapitia, Angalau achukue Ten m, amsopu sopu baba yake eheee!!!
Hesabu ngumu...ila kigumu zaidi ni kutengeneza uongo..hicho ni kipaji si kila mtu amepewa....mtoa mada hana hicho kipaji namshauri aachane na hii fani
😀😀😀labda walibebana mkuu..kwani kubabena si imo😎