Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

Aaagh mkichangia pesa za party za harusi, sendoff etc mnalipa kodi?

Huwa hazifiki kiwango cha kulipia kodi plz hebu nimstue Waziri kuwa kuna hela yetu inaenda Uganda bila kodi. Mwigulu Nchemba plz hili linaruhusiwa kweli ndio maana mdola unapanda daily
 
Last edited by a moderator:
Kwa uelewa wangu ticcket ya mil 3 unapata meza ya watu 8... Wakati ticket ya mil 1 unapata keza ya watu wa 4

Kwa hesabu zako kama ticket za mil 3 zilikuwa 150 basi jumla ya waliongia kupitia ticket hizo ni watu 1200(150*8)
Kwa ticket za mil 1 kwa hesabu zako kama zilikuwa 120 basi walioingia walikuwa 480(120*4)

So jumla ya VIP tickets tu ni watu 1680(1200+480)

Haya chukua tickets za elfu 50 na laki 1 ambazo hizi ni za mtu mmoja mmoja ambapo kwa hesabu zako kwa za elfu 50 zimeuzwa 1563 na za laki 1 zimeuzwa 570 inakuwa ni 2133(1563+570)

Ukichukua jumla ya watu wa VIP tickets na tickets za kawaida unapata total ya watu 3813 afu wewe unatuambia ukumbi wa mlimani city unachukua watu 2500 tu

Sasa jombaa rudi utengeneze tena hizi hesabu zako

Zingatia Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond alipohojiwa na Millardy Ayo alisema tickets za mil 3 zilikuwa 6 tu

Hesabu ngumu...ila kigumu zaidi ni kutengeneza uongo..hicho ni kipaji si kila mtu amepewa....mtoa mada hana hicho kipaji namshauri aachane na hii fani
 
Yaani na bosi ya Johnnie Walker alikuwepo...mzungu (nimesahau walisa lugha gani au sikusikia)...alikuwa na translator....ana smile hakunaga furaha ya kukubali party na kuchekelea.... .....hakunagaaaaaaaaa.....alipanda stejini.....party party......
 
WanaJamii,

I hope mko vizuri jumamosi hii. Jana ile party iliyokuwa inasuburiwa kwa hamu EAST AFRICA nzima ZALI ALL WHITE PARTY ambayo ilifanyika pale Superbrand Hall Mlimani City Beibee....lol

Issue iko hivi originally hiyo party ilikuwa na ya mwana dada Zarina Hassan a.k.a The Boss Lady...alikuja Bongo akiamini hiyo show ni yake exclusively na atakua fully incharge na mapato ya party nzima....kama mtakumbuka matangazo ya mwanzo ya party hii yalikua kama yamedorora flani hivi yani yalikuwa yamekosa SPARK sasa kama kawa Kijana Ruge wa Mawingu akimtuma Bwana Mdogo Seba akachonge na Zari ili wazee wa Mawingu wanunue hiyo show nzima then jukumu la promotion na maandalizi yote waachiwe wao..

Kijana Seba akakutana na Zari pamoja na Diamond pale Kilimanjaro Hotel na kuwapa offer ya Milioni 100 yaani wachukue huo mpunga then mambo mengine wawaachie wao...Mrembo akagoma kabisa kwani aliamini hiyo party inaweza ikamwingizia kama Milioni 500 so hakuwa tayari....Seba ikabidi arudi kwa Ruge na kumwambia The Boss Lady Amekataa hiyo offer...

Ruge ikabidi awa face Zari na Diamond yeye mwenyewe na habari zisizo za uhakika zinasema Zari na Diamond walikubali kuchukua Milioni 200 na kuuza hiyo party kwa wazee wa Mawingu......Kwahiyo mapato yote yaliyopatikana jana usiku yanayokadiriwa kuwa Milioni 700 yalienda kwa the Don mwenyewe.

Jamani hizi ni tetesi tu. Disclaimer...lol

=======Update===

Kutokana maswali mengi yanayohusu mchanganuo wa mapato wa Milioni 700 nimelazimika kuweka mchanganua huo hapa chini.

Ukumbi wa Mlimani City una uwezo wa kuchukua watu waliokaa 'seating capacity' Elfu mbili na mia tano ( 2,500 People).

Jumla Tiketi za Tzs 3,000,000 ( VVIP Table) zilizouzwa ni 150 only = (3,000,000 x 150 = 450,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 1,000,000 (VIP Table) zilizouzwa ni 120 only = ( 1,000,000 X 120 = 120,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 100,000 zilizouzwa ni 570 only = ( 100,000 x 570 = 57,000,000)
Jumla ya Tiketi za Tzs 50,000 zilizouzwa ni 1,563 only = ( 50,000 X 563 = 78,150,000).

HAYO NI MAKADIRIO YA MAPATO TU

Shikamoo Ruge/Shikamoo Diamond/Shikamoo Zari


RIPORT YA ZARI ALL WHITE PARTY
Tiket za elfu hamsini zimenunuliwa 1200
1200×50000
Za laki moja zimeuzwa 700
700×100000
Za milioni moja zimeuzwa 300
300×1000000
Za milioni tatu zimeuzwa 200
200×3000000
Walionunua code za online ni zaidi ya laki mbili
3000×200000
Jumla wamehudhulia watu zaid ya 3000 na complimentary zilitolewa 750
JUMLA
ZARI ALL WHITE PARTY IMEINGIZA
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA NANE
Hii ni rough figure
1,800,000,000 per nite 🙆
😱😱mbona kila mtu anachanganua kivyake???ngoja nimtwangie diamond
 
Diamond alialika wasanii 100 yaani walialikwa na wakatimiwa ma limo kuwabeba kuwapeleka kwenye party...
 
Kwa uelewa wangu ticcket ya mil 3 unapata meza ya watu 8... Wakati ticket ya mil 1 unapata keza ya watu wa 4

Kwa hesabu zako kama ticket za mil 3 zilikuwa 150 basi jumla ya waliongia kupitia ticket hizo ni watu 1200(150*8)
Kwa ticket za mil 1 kwa hesabu zako kama zilikuwa 120 basi walioingia walikuwa 480(120*4)

So jumla ya VIP tickets tu ni watu 1680(1200+480)

Haya chukua tickets za elfu 50 na laki 1 ambazo hizi ni za mtu mmoja mmoja ambapo kwa hesabu zako kwa za elfu 50 zimeuzwa 1563 na za laki 1 zimeuzwa 570 inakuwa ni 2133(1563+570)

Ukichukua jumla ya watu wa VIP tickets na tickets za kawaida unapata total ya watu 3813 afu wewe unatuambia ukumbi wa mlimani city unachukua watu 2500 tu

Sasa jombaa rudi utengeneze tena hizi hesabu zako

Zingatia Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond alipohojiwa na Millardy Ayo alisema tickets za mil 3 zilikuwa 6 tu

😀😀😀labda walibebana mkuu..kwani kubabena si imo😎
 
woowoooo hoyaaaa kiko wapi kumbe changa nilijua tu hakuna kitu pale hoyaaaaaa.kimenuka kumbe mashauzi yote yale wamelamba milion 200 tu nyingine wamewapatia wazee wa jiji chezea bongo na zari ujue uku ndio bongo,POLE SANA ZARI JAMANII. na hii ishu ni kweli tupu mi pia nimeipata yote. KIKO WAPI? MTAJIBEBA

Mboni kama ww ndo umeumia zaidi?, hata kama wamepata 200 million weye una ngapi mpaka ukalie majungu hapa?, mfyuuu
 
Tukumbuke mtoa uzi kasema ni tetesi,, maana naona watu mwatoka povu humu
 
Zari na Diamond waliona mbali,maadam Ruge alionyesha nia ya kununua tamasha basi wangekataa Clouds wangelififisha na hivyo kukosa mapato hata hayo waliyoyapata!ni mawazo yangu tu msinihukumu.
 
Zari’s Tanzania All White Party going down today.Bigeye.ug

UGANDA HIYOOOO

******************

ZARI’S TANZANIA ALL WHITE PARTY GOING DOWN TODAY.

Big Eye / May 1, 2015By Stuart G-khastAs Ugandans prepare for Chameleone’s Wale Wale and King Saha’s Gundeeze concerts, Tanzania’s party animals await the Zari all white party that is going down tonight.The Zari all white party, the Tanzanaian version just like the Ugandan version last year, will feature Tanzania’s best artiste Diamond Platnumz this evening.

Zari is said to have invited all her friends across the globe among which include Huddah Monroe & Eric Omondi from Kenya, Ahumuza Brian and Kim Swagga from Uganda , all her family members including her sisters, her mother, her young brother alongside a couple of other friends too.
Zari anticipates to make close to 500 Million shillings tonight if all goes as planned.
Zari and her boyfriend have for the past one or so months given the event much hype and today is the day the pair once again show up in Tanzania as
man and wife
.







 

Attachments

  • zari11.png
    zari11.png
    127.2 KB · Views: 412
  • zari-party.png
    zari-party.png
    106.4 KB · Views: 384
wakiwa clouds na kwenye party
 

Attachments

  • Screenshot_2015-05-01-19-40-18.jpg
    Screenshot_2015-05-01-19-40-18.jpg
    27.2 KB · Views: 382
  • zari wetu.jpg
    zari wetu.jpg
    31.3 KB · Views: 362
  • malovee2.jpg
    malovee2.jpg
    24.7 KB · Views: 352
  • ZARIDIAMOND38.JPG
    ZARIDIAMOND38.JPG
    38.4 KB · Views: 389
Huwa hazifiki kiwango cha kulipia kodi plz hebu nimstue Waziri kuwa kuna hela yetu inaenda Uganda bila kodi. Mwigulu Nchemba plz hili linaruhusiwa kweli ndio maana mdola unapanda daily


Sasa wewe naona una yako, hivi kama wanapokuja wale wasanii wa hata USA walisemaje wanapopataga pesa zao? Eti kwenda Uganda kwani Uganda hawaishi watu?

Nyie mmekatazwa kufanya party Tanzania, kama mlikuwa hamna ubunifu basi kopini aliyofanya Zari nanyi mjipatie pesa zenu mkatumie kariakooo kabisa soko letu kubwa.

Hivi kweli wanaosema party imeliza wengi kwa wivu hawajakosea...kama ni haki za kodi si uende TRA ukaripoti basi. TRA wapo nenda ukawaripoti...usisahau kuwapa na anuani wanaishi wapi. sawa?
 
mzurimie tunajaribu kutafta kodi ya kuendesha nchi we unaleta mahaba. Hiyo sio siasa ndo hali halisi tena hii nchi inapambana na muuza saa kariakoo akati kuna 700mill imeingia na inaondoka bila kodi na wewe eti unasema ni wivu. Nakuomba Chabruma nisaidie kumwambia DC wetu kama wilaya imeingiza kiasi gani kwa onesho lile kufanyikia wilayani kwake. Na pia tujue TRA imelamba ngapi. Nchi ndo inaendeshwa namna hyo sio kuwaonea wafanyakazi kwa kuwakata mikodi tu
 
Last edited by a moderator:
Duuh hii book keeping ya wapi kuwe na mapato tu hakuna gharama/matumizi mfano mapambo ,ukumbi na mengineyo..Au ukumbi unamilikiwa na Diamond/Zari?????ni swali tuu.

😄😄yaani kama ukumbi ni wenu na mmejenga kukofisha lazima na nyie mkodishe japo kwa kiasi kidogo.
 
Hesabu ngumu...ila kigumu zaidi ni kutengeneza uongo..hicho ni kipaji si kila mtu amepewa....mtoa mada hana hicho kipaji namshauri aachane na hii fani

Hakika huyu bwana ni muongo kupitiza afu hajui kudanganya
 
Back
Top Bottom