Uchaguzi 2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
FB_IMG_1595009729173.jpg

Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017

Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .

Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .

Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
 
Hujuma hizi zitakiimarisha CDM zaidi mjue hilo.
 
Acha propaganda za kisiasa kama alipanga itabaki hivyo hivyo!!
 
Kesho gazeti la Tanzania Daima wakiitoa habari hii ujue mpango mzima utaahirishwa, japo wahujumu wataandaa tuhuma nyingine.
Hivi Tanzania Daima lipo mkuu? Unaonekana haupo nchini Tanzania!!
 
Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017

Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .

Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .

Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for them
 
Mods ondoeni huu ushuzi. Hauna afya. Mmeanza kuweweseka baada ya kusikia pole pole Jana anasema siku 15 za mwisho watatoa makombora mpaka mpoteane hapo ufipa.
 
Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for them
Uchunguzi unafanywaje wakati wahusika muhimu walikimbia nje ya nchi. Tumia akili hata kama hauna.
 
Back
Top Bottom