Uchaguzi 2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

Ya
Why video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?
Yani kinachoiponza gvt ya magu ni uibilisiibilisi. Mbona nyie hamumhoji medard kalemani ?
 
Why video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?

Facial expressions zinaweza kuonekana kwenye video call. Njia nyingine ni kutumia interpol kufanya mahojiano. Kuhusu kukamatwa mpaka apatikane na hatia na njia moja ya kumtia hatiani ni kumuhoji. Na kama ana hatia basi serikali inaweza kuomba extradition.
 
Kwanni hayo yote. Kitu gani kinachofanya asije huku? Hili swali mbona hatupendi kujiuliza
 
Kama muuwaji chadema kwahiyo chadema wanaweza kupangua zamu za walinzi pale getini basi chadema kweli imeshika dola kimyakimya kisirisiri
 
Mlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??

Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,

Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Tutamfahamu na pia mkuu wa ulinzi wa majengo ya viongozi ambaye hakupanga walinzi siku ya tukio. Tutamjua pia aliyechukua na kuhamisha CCTV cameras
 
Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for them
Yaani wewe unasema hujijui? Kwa taarifa yako afadhali wewe mara mia, hawa hawajijui na wala hawajuagi kitu. Acha wategue bomu mikononi mwao halafu watakufa majirani wao watabaki salama.
 
Mods ondoeni huu ushuzi. Hauna afya. Mmeanza kuweweseka baada ya kusikia pole pole Jana anasema siku 15 za mwisho watatoa makombora mpaka mpoteane hapo ufipa.
Kuweweseka vipi tena. Pole pole ana nini. Mmeamua kuunda ccm mpya bila wanaojua fitna: makamba, nape, kinana na madelu? Hamtoboi. Mwaka wenu wa kuaibika huu.
 
Back
Top Bottom