Ndugu Mleta Mada, Wajinga ni nyie tuu, Habari kama hizi sio za kuletwa kijinga na mtu kama wewe, Kama kuna kitu kama hiki basi ujue kuwa ni kitu kinajengwa na nyinyi wenyewe, na mumeshanaza kuchafuana. kwa muda wa wiki mbili sasa, kumekuwa na manunguniko mengi kwa namna CAMPAIGNE ya Lissu inavyoendeshwa, mara nyingi yuko pekee yake, Hapewi pesa za kutosha matumizi, hadi Mgombea anakuwa OmbaOmba.
Ukweli utajitokeza, hii funika uchafu unaoufanya, hauta fua dafu, ukweli lazima utajitokeza. CCM wangeliutengeza huo uongo kitambo sana, na kuwachonganisha, KUUTUMIA LEO NI UJINGA NA HAKUNA ATAKAYE KUBALI HATA KAMA NI UKWELI, CCM hawataweza utumia leo, hata kidogo.
AMA HII HABARI NI YA UKWELI NA ILIKUWA IMEFICHWA MUDA WOTE, LEO WATU WAMESHIKANA, NA WALIOHUSIKA WANAONA MAMBO YA LISSU YANAKUWA MAZURI, NA HILI JANGA LITAKUJA KUWAKUMBA, HUU NDIO WAKATI MUAFAKA KUSUKUMIZIANA NA KUKASHIFIANA. AU KUNA WALE WABAYA NDANI YENU WASIO TAKA LISSU ASHINDE, KAMA WALIVYO BAADHI YA WANA CCM, WASIOMTAKA MAGUFULI ASHINDE.