Uchaguzi 2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

Uchaguzi 2020 Tetesi - Freeman Mbowe apangiwa njama ya kumchafua kuelekea mwisho wa kampeni

Mkuu usiwalaumu Viongozi wa Dini kwani hata wao ni Binadamu wenye Roho na Mwili wa Nyama kama sisi. Walitishwa sana ktk awamu hii ya tano. Wote walipewa miongozo namna ya kufanya shughuli zao za Kiroho ikiwemo kusifu na kuimba habari za Bwana Yule.
Ni aibu kubwa sana kwa viongozi wa dini kumwabudu binadamu
 
Kamanda Wa Anga Philemoni Aikaeli Mbowe[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Mlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??

Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,

Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Kwa hiyo Freeman alikutana na Makonda na Jiwe kupanga namna ya kushambulia sio?
Hakika huyu Freeman ni wa shoka, hadi akatoa maagizo kwa polisi walinzi wa makazi anayoishi Naibu spika na mawaziri wa serikali waondoke ili Bashite na wenzake waingie kwa urahisi kumshambulia Lissu kisha akaagiza tena CCTV za nyumbani kwa waziri ziondolewe.
Na bado wanamgwaya kumkamata MTU huyu gwiji wa siasa!
Polepole you need your head to be examined.
 
😆😆😆
 
Ukweli ni huu hapa wewe unayejiuza kwa kutapeli wanaume nitumie pesa ya nauli nije weekend hii halafu unaingia mitini.

1601131483366.jpeg

Acha ukweli ujulikane
 
View attachment 1581635

Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017

Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .

Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .

Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Siasa za maji taka
 
Ilirekodiwa mwaka 2017 wakati wanapanga!
Ungekua unatumia asilimia 3 tu ya akili alizo kupa mwenyenzi Mungu, usingeandika hiyo sentensi! Unajua ni miaka mingapi imepita tangu 2017? Watu mlitaka CHADEMA ife, mkampa Mbowe kesi ya risasi iliyo piga samalosolti hewani ikamuua Aquilina? Si mngekua mmeshamfunga Mbowe kifungo cha maisha, muachane na stress anazo wapa? Hivi unajua kuna kijana mzito sana anaitwa Miraji aliwai kuleta mtambo anatuma meseji kupitia simu za watu, anatukana na kutishia kuua, ili kuwabambikia watu kesi, na akashindwa tu??!
Kwa kuhitimisha;, Una akili za kukutosha kabisa, lakini unatumia kidogo tu, kuvuka barabara, hasa kwenye mataa!
 
Hii ni kuhusu mkutano wa Raisi Kikwete Hai, walizungumzia barabara. Wewe unataka kusema magufuli amekasirika. Apana Raisi kila anapokwenda anakutana na mbunge wa jimbo
Umeambiwa tunga sentensi, hapa umeleta sentensi mbili ambazo hazija kamili! Hebu fanya masahihisho!
 
Back
Top Bottom