Ungekua unatumia asilimia 3 tu ya akili alizo kupa mwenyenzi Mungu, usingeandika hiyo sentensi! Unajua ni miaka mingapi imepita tangu 2017? Watu mlitaka CHADEMA ife, mkampa Mbowe kesi ya risasi iliyo piga samalosolti hewani ikamuua Aquilina? Si mngekua mmeshamfunga Mbowe kifungo cha maisha, muachane na stress anazo wapa? Hivi unajua kuna kijana mzito sana anaitwa Miraji aliwai kuleta mtambo anatuma meseji kupitia simu za watu, anatukana na kutishia kuua, ili kuwabambikia watu kesi, na akashindwa tu??!
Kwa kuhitimisha;, Una akili za kukutosha kabisa, lakini unatumia kidogo tu, kuvuka barabara, hasa kwenye mataa!