Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hujuma hizi zitakiimarisha CDM zaidi mjue hilo.Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Mlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??
Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,
Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Acha propaganda za kisiasa kama alipanga itabaki hivyo hivyo!!Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Hivi Tanzania Daima lipo mkuu? Unaonekana haupo nchini Tanzania!!Kesho gazeti la Tanzania Daima wakiitoa habari hii ujue mpango mzima utaahirishwa, japo wahujumu wataandaa tuhuma nyingine.
Akili hamna,mmewahiwa kabla hamjafanya uharamiaMlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??
Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,
Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Mmeishamaliza kurekodi ?Acha propaganda za kisiasa kama alipanga itabaki hivyo hivyo!!
Ilirekodiwa mwaka 2017 wakati wanapanga!Mmeishamaliza kurekodi ?
Mmestukiwa kibwege sana !Mbona una weweseka Acha ivuje tujue mbivu na mbichi, au ndio dj anaanza kujihami?
Du dunia ina mambo au ndio press conference ya tarehe 15 October?Mlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??
Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,
Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for themHabari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Mods ondoeni huu ushuzi. Hauna afya. Mmeanza kuweweseka baada ya kusikia pole pole Jana anasema siku 15 za mwisho watatoa makombora mpaka mpoteane hapo ufipa.Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Uchunguzi unafanywaje wakati wahusika muhimu walikimbia nje ya nchi. Tumia akili hata kama hauna.Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for them
Watu wameamka wanazijua propaganda za CCM ya utawala huuMbona una weweseka Acha ivuje tujue mbivu na mbichi, au ndio dj anaanza kujihami?