Erythrocyte achana na washenzi hao! Kama siyo Mbowe, Lisu angelikuwa maiti. Ile Mbowe kukataa kata kata, mvua inyeshe isinyeshe hakuna kwenda Muhimbili , kumpeleka Lisu Muhimbili ndiyo ilimuokoa Lisu, halafu jitu linasema eti Mbowe sijui nini.. achana na maiti hao!View attachment 1581635
Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
Ungekua unatumia asilimia 3 tu ya akili alizo kupa mwenyenzi Mungu, usingeandika hiyo sentensi! Unajua ni miaka mingapi imepita tangu 2017? Watu mlitaka CHADEMA ife, mkampa Mbowe kesi ya risasi iliyo piga samalosolti hewani ikamuua Aquilina? Si mngekua mmeshamfunga Mbowe kifungo cha maisha, muachane na stress anazo wapa? Hivi unajua kuna kijana mzito sana anaitwa Miraji aliwai kuleta mtambo anatuma meseji kupitia simu za watu, anatukana na kutishia kuua, ili kuwabambikia watu kesi, na akashindwa tu??!
Kwa kuhitimisha;, Una akili za kukutosha kabisa, lakini unatumia kidogo tu, kuvuka barabara, hasa kwenye mataa!
Erythrocyte achana na washenzi hao! Kama siyo Mbowe, Lisu angelikuwa maiti. Ile Mbowe kukataa kata kata, mvua inyeshe isinyeshe hakuna kwenda Muhimbili , kumpeleka Lisu Muhimbili ndiyo ilimuokoa Lisu, halafu jitu linasema eti Mbowe sijui nini.. achana na maiti hao!
Hawanaga aibu hao watu mkuuSasa huo mbona utakuwa utoto uliopitiliza hivi kweli utoe sauti kwamba mtu aliyetaka kumdhuru mtu unayorecord yake alafu ulikuwa umekaa nayo tu unasubiri agombee uraisi ndo uitoe puplic huoni Kama utaonekana ni mjinga usiye na viwango? Kama wakifanya hivyo watajishusha sana hebu wasituharibie chama kwa mambo ya kitoto Kama hayo.
Kama ni kweli Hiyo studio huitakii mema ...uropokaji mbaya Sana...View attachment 1581635
Habari zilizotufikia hivi punde zinaonyesha kwamba watu walioishiwa hoja wameingia studio kutengeneza sauti feki ya Gwiji la siasa nchini Tanzania Mbowe akipanga njama za kumshambulia Lissu Dodoma mwaka 2017
Bado haijajulikana malengo kamili ya mipango hiyo inayopangwa na mmoja wa viongozi wa chama cha siasa , lakini uzuri wa bahati ni kwamba ndani ya Studio kunakorekodiwa single hii yumo mtoa taarifa wetu .
Tutaendelea kufichua uchafu wote unaopangwa kwa kadri unavyopatikana .
Nakala : CHADEMA , Chadema Diaspora , BAVICHA Taifa
haya mambo yana gharama zake , studio iliyoamua kushirikiana na Shetani iache ivune ilichopandaKama ni kweli Hiyo studio huitakii mema ...uropokaji mbaya Sana...
Hizo ndoto za chumbani zinatujazia memory tu..eti Lissu aingie ikulu..kufanya Nini amesahau kule..ikulu?khaaaaa...Lissu akiingia Ikulu siku mia moja za kwanza ahakikishe Makonda na kundi lake wanapandishwa kizimbani
Wanatafuta wa kufanya collaboKwa hiyo mashairi tayari bado mixing tu?
Kila siku siyo JumapiliHizo ndoto za chumbani zinatujazia memory tu..eti Lissu aingie ikulu..kufanya Nini amesahau kule..ikulu?khaaaaa...
PONDAMkuu usiwalaumu Viongozi wa Dini kwani hata wao ni Binadamu wenye Roho na Mwili wa Nyama kama sisi. Walitishwa sana ktk awamu hii ya tano. Wote walipewa miongozo namna ya kufanya shughuli zao za Kiroho ikiwemo kusifu na kuimba habari za Bwana Yule.
Hajat karibu ubwabwa,njoo upakuliweMlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??
Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,
Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Uchunguzi unafanywaje wakati wahusika muhimu walikimbia nje ya nchi. Tumia akili hata kama hauna.
Why video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?Yule dereva alisema yuko tayari kuhojiwa kwa njia ya video call lakini mpaka sasa polisi hawajamuhoji
Unatia huruma sana ! Hakuna aliyefanikiwa kumtetea shetani , wewe utakuwa wa kwanzaWhy video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?
Kumbe ndo maana Mbowe kampeni hizi yupo kimyaa.kumbe ndo alipanga mipango mibaya ya kummaliza Lissu Dodoma!!
Mbowe anaroho ya kinyama sana huyu babu.
Alisema hatawapitisha kwenye maumivu aliyoyapita.Lissu akiingia Ikulu siku mia moja za kwanza ahakikishe Makonda na kundi lake wanapandishwa kizimbani