Yani kinachoiponza gvt ya magu ni uibilisiibilisi. Mbona nyie hamumhoji medard kalemani ?Why video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?
Why video call? Kinachomfanya asije physically ni nn? Kwenye mahojiano kuna facial expressions ambazo zinatoa signal kama mtu anaongopa ama la. Sasa endapo watu wakigundua huyo Dereva wanamtiaje hatiani kwenye video call?
Kwanni hayo yote. Kitu gani kinachofanya asije huku? Hili swali mbona hatupendi kujiulizaFacial expressions zinaweza kuonekana kwenye video call. Njia nyingine ni kutumia interpol kufanya mahojiano. Kuhusu kukamatwa mpaka apatikane na hatia na njia moja ya kumtia hatiani ni kumuhoji. Na kama ana hatia basi serikali inaweza kuomba extradition.
Kwanni hayo yote. Kitu gani kinachofanya asije huku? Hili swali mbona hatupendi kujiuliza
swali la kibwege sana !Kwanni hayo yote. Kitu gani kinachofanya asije huku? Hili swali mbona hatupendi kujiuliza
Akija watamuuwa maana yy alishuhudia mchezo mzima atarudi ngoja shetani aondoke madarakani.Kwanni hayo yote. Kitu gani kinachofanya asije huku? Hili swali mbona hatupendi kujiuliza
Tutamfahamu na pia mkuu wa ulinzi wa majengo ya viongozi ambaye hakupanga walinzi siku ya tukio. Tutamjua pia aliyechukua na kuhamisha CCTV camerasMlifikiri kuna siri itadumu muda mrefu basi??
Hatimaye tunamwenda kufahamu ukweli wote,
Ndio maana humuoni majukwaani wakinadiana??
Yaani wewe unasema hujijui? Kwa taarifa yako afadhali wewe mara mia, hawa hawajijui na wala hawajuagi kitu. Acha wategue bomu mikononi mwao halafu watakufa majirani wao watabaki salama.Wakiitoa hiyo video si ndo watakuwa wamemuua magufuli kabisa.Kwenye lile shambulio la lisu namna pekee ya serikali ya Magufuli kujiepusha nalo ilikuwa ni kufanya uchunguzi,ila kwa kuwa walishindwa kufanya uchunguzi,iam so sorry for them
Kuweweseka vipi tena. Pole pole ana nini. Mmeamua kuunda ccm mpya bila wanaojua fitna: makamba, nape, kinana na madelu? Hamtoboi. Mwaka wenu wa kuaibika huu.Mods ondoeni huu ushuzi. Hauna afya. Mmeanza kuweweseka baada ya kusikia pole pole Jana anasema siku 15 za mwisho watatoa makombora mpaka mpoteane hapo ufipa.
Yaani una akili za kutosha hadi raha. [emoji108][emoji108]Tulisema dj ana mkono kwenye ishu ya yuda iskariote lisu mpaka kamficha dereva, sasa mambo yanaanza kuwa wazi