Si kweli.Tulielezwa na mwanaJF mmoja kwamba Israel hawana uwezo wa kupiga na kubomoa madude yaliyojengwa(chini sana ardhini na magumu kwerikweri)na Iran.
Unachanganya files naonaSi kweli.Tulielezwa na mwanaJF mmoja kwamba Israel hawana uwezo wa kupiga na kubomoa madude yaliyojengwa(chini sana ardhini na magumu kwerikweri)na Iran.
cc; Muheshimiwa Webabu aione hili.
Kivipi kuna mchanganyiko wakati tulielekezwa hivyo na kusindikiziwa picha aina kwa aina ili kuhamasisha usomaji wa uzi?Unachanganya files naona
🤣🤣🤣🤣🤣Si kweli.Tulielezwa na mwanaJF mmoja kwamba Israel hawana uwezo wa kupiga na kubomoa madude yaliyojengwa(chini sana ardhini na magumu kwerikweri)na Iran.
cc; Muheshimiwa Webabu aione hili.
Eli Cohen master wa mipango😄Kaka niko tehran tunawatafuta vijana wa Irgc.
Tafadhari usini report 🤣🤣
Kwamba maelezo mpaka sasa ni vinu vya nyuklia tu ndio vinasemekana viko chini zaidi na sio ma bunkers kipi huoni kama umechanganya ma file?Kivipi kuna mchanganyiko wakati tulielekezwa hivyo na kusindikiziwa picha aina kwa aina ili kuhamasisha usomaji wa uzi?
Utawakuta wote wamenyoa ndevu zao na kuvaa hijabs kama wanawali waliobeba taa kumlaki bwana harusi.Ngoja tusubiri taarifa.Kaka niko tehran tunawatafuta vijana wa Irgc.
Tafadhari usini report 🤣🤣
Naona unambishia aliyetutaarifu.Alamsiki.Kwamba maelezo mpaka sasa ni vinu vya nyuklia tu ndio vinasemekana viko chini zaidi na sio ma bunkers kipi huoni kama umechanganya ma file
HahahEli Cohen master wa mipango😄