TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

Hahah

Ila nachopendea bana urafiki wetu uko pale pale ingawa tunatofautiana msimamo kuhusu maswala ya israel.

Nikirudi ntakuletea totoz za Kipasha kutoka shiraz.

Ngoja kwnza tufungue hii bunker kama huyu kibaka yumo humu.
Totozi za iran za moto sana kaka , uzuri mmoja mimi nikizingua sana unajua ni pombe tu bwashee 😅
 
Kuna namna raia wa Iran wanafanana sana kisura na wayahudi sijui ni mimi naona hivyo tu au bangi zangu🤔
Upo sahihi kabisa.

Nguzi brown.
Nywele nyeusi.

Ila wairan wanakimbilia tena kufanana na waturuki 🤣🤣
 
Back
Top Bottom