Hahahahahaa dahBora iwe kweli. Iran wanatudai pesa nyingi. Huenda tukasalimika
Hata Miaka Ya Mfalme Daudi tunaona waisraeli walizaliana na Wayebusi, Wahiti n.kPia maeneo hayo waliwahi ku -interact miaka maelfu na maelfu
Kwa sababu hao waisrael feki ni waturuki wa khazaraUpo sahihi kabisa.
Nguzi brown.
Nywele nyeusi.
Ila wairan wanakimbilia tena kufanana na waturuki š¤£š¤£
Yeah waarabu utawajua tuHakika.
Wanafanania hadi muaraba ila muarab pure anakuwa mweupe zaidi ya muisrael na persia pure kabisa.
Wanamdai mama ,sio sisiBora iwe kweli. Iran wanatudai pesa nyingi. Huenda tukasalimika
šššUlivyosema hapo kama vile inafunguliwa kwa spanaHahah
Ila nachopendea bana urafiki wetu uko pale pale ingawa tunatofautiana msimamo kuhusu maswala ya israel.
Nikirudi ntakuletea totoz za Kipasha kutoka shiraz.
Ngoja kwnza tufungue hii bunker kama huyu kibaka yumo humu.
Bado watoto wake, wajukuu, na wakwe zake bado ni tishia!Duh,
Hatari sana.
Kama kweli mzizi wa fitna utakuwa umeng'olewa rasmi
Mgogoro utazidi kuwa mkubwa
Israel ni mashoga tu , mpaka sasa wameshashindwa, msaada wao mkubwa ni marekani aingilie kati awasaidie, bila hivyo watapokea kipigo cha mbwa kokoIla,"mashoga" wanapiga kimbwa.Sasa inakuwaje mashababi wanapigwa na mashoga?Tumuite nani shoga hapo?
WebabuSi kweli.Tulielezwa na mwanaJF mmoja kwamba Israel hawana uwezo wa kupiga na kubomoa madude yaliyojengwa(chini sana ardhini na magumu kwerikweri)na Iran.
cc; Muheshimiwa Webabu aione hili.