TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

Si kweli.Tulielezwa na mwanaJF mmoja kwamba Israel hawana uwezo wa kupiga na kubomoa madude yaliyojengwa(chini sana ardhini na magumu kwerikweri)na Iran.
cc; Muheshimiwa Webabu aione hili.
🤣🤣🤣🤣🤣

Jf hii ambayo tunaiba Pasuwedi za waifai kwa jirani

🤣🤣🤣
 
Kivipi kuna mchanganyiko wakati tulielekezwa hivyo na kusindikiziwa picha aina kwa aina ili kuhamasisha usomaji wa uzi?
Kwamba maelezo mpaka sasa ni vinu vya nyuklia tu ndio vinasemekana viko chini zaidi na sio ma bunkers kipi huoni kama umechanganya ma file?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…