TETESI: Israel yalipua bunker alipokuwa amejificha Ayatollah

Niagieni niagieni!!😀

Huu mzozo hauwezi kuisha Khamenei akiwa hai.
 
Bunker Inajengwaje Hiyo Mpaka Iwe Salama Na Ukiwa Usife ?
 
Hahah

Ila nachopendea bana urafiki wetu uko pale pale ingawa tunatofautiana msimamo kuhusu maswala ya israel.

Nikirudi ntakuletea totoz za Kipasha kutoka shiraz.

Ngoja kwnza tufungue hii bunker kama huyu kibaka yumo humu.
😁😁😁Ulivyosema hapo kama vile inafunguliwa kwa spana
 
Israel waachane na Iran. Israel wamuache yule mzee.

Wameshamletea maumivu imetosha
 
Ila,"mashoga" wanapiga kimbwa.Sasa inakuwaje mashababi wanapigwa na mashoga?Tumuite nani shoga hapo?
Israel ni mashoga tu , mpaka sasa wameshashindwa, msaada wao mkubwa ni marekani aingilie kati awasaidie, bila hivyo watapokea kipigo cha mbwa koko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…