Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

mbowe a.k.a mdudu kupe
 
JPM hakubaliki zaidi ya kutumia vibaya vyombo vya dola kulazimisha ushindi. Ebu iwekwe tume huru ya uchaguzi halafu haki iwepo na kusiwe na mizengwe uone kama atachomoka na mbunge hata mmoja. Usijidanganye na takwimu fake za matumizi mabovu ya vyombo vyetu vya dola ktk kulazimisha ushindi
 
Huyu jamaa anajaribu kutufanya sie manunda kana kwamba hatujitambui
 
 
Labda aibe...huyu aliyeshindwa Yanga aiweze Machame? Is he married?(*) Kilimanjaro hasa sehemu ile hawawezi kukubali kuongozwa na masikini
 
Ramli chonganishi
 
Tunaomba pia mrejesho wa ndege yetu kesi ya mkulima mkuu.
 
Mambo mwakani hayatakuwa rahisi kama unavyodhani.CDM watapata wabunge wa Kutosha.
 
Msijisifu sana kwa huu wembe, watu hawana furaha na matokeo ya mtu asiye na furaha hufanya chochote kubadlili hali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…