Tetesi: Mbowe kustaafu Uenyekiti Chadema Desemba 2020 na kumwachia kijiti makamu wake Tundu Lissu

Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.

Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.

Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
mbowe a.k.a mdudu kupe
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.

I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.

Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...

Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.

P
JPM hakubaliki zaidi ya kutumia vibaya vyombo vya dola kulazimisha ushindi. Ebu iwekwe tume huru ya uchaguzi halafu haki iwepo na kusiwe na mizengwe uone kama atachomoka na mbunge hata mmoja. Usijidanganye na takwimu fake za matumizi mabovu ya vyombo vyetu vya dola ktk kulazimisha ushindi
 
Huyu jamaa anajaribu kutufanya sie manunda kana kwamba hatujitambui
Kwa hizi chaguzi ambazo Magufuli ndio anaamua nani atangazwe mshindi hayo unayosema wala sio utabiri bali itakuwa hivyo labda itokee machafuko. Huu utabiri wako ni sawa na kusema kesho jua litachomoza upande wa mashariki. Sasa kama rais anahutubia leo na kuipongeza ccm kwa ushindi wa kishindo huku haijashindana hapo kuna utabiri?
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.

I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.

Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...

Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.

P
[/QUOTE
Mkuu haya uliyoeleza yakitokea mbeleni si kosa la Mbowe bali ni kutokana na aina mpya ya siasa ya ajabuajabu iliyoshika kasi awamu hii ya tano. Hata angeingia mwenyekiti mwingine badala ya Mbowe hayo uliyosema hayakwepeki. Tusiyafurahie. Siasa ni staha na kanuni, kanuni ikivunjwa kibabe kama ilivyo leo hii nchi inaweza kuyumba.
 
Labda aibe...huyu aliyeshindwa Yanga aiweze Machame? Is he married?(*) Kilimanjaro hasa sehemu ile hawawezi kukubali kuongozwa na masikini
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.

I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.

Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...

Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.

P
 
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.

Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.

Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
Ramli chonganishi
 
Tunaomba pia mrejesho wa ndege yetu kesi ya mkulima mkuu.

Mambo mwakani hayatakuwa rahisi kama unavyodhani.CDM watapata wabunge wa Kutosha.
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.

I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.

Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...

Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.

P
Msijisifu sana kwa huu wembe, watu hawana furaha na matokeo ya mtu asiye na furaha hufanya chochote kubadlili hali.
 
Back
Top Bottom