johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hahahaaa......... Hahahaaa....... Hahahaaa......!basi wameshamshtukia hapati! Anajisumbua. Inner circles bahati nzuri wanalijua hilo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa......... Hahahaaa....... Hahahaaa......!basi wameshamshtukia hapati! Anajisumbua. Inner circles bahati nzuri wanalijua hilo!
Then the country will be tending in a civil war direction!ahsante mjomba umemaliza kila kitu na ndiyo ukweli huo
mbowe a.k.a mdudu kupeHizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!
JPM hakubaliki zaidi ya kutumia vibaya vyombo vya dola kulazimisha ushindi. Ebu iwekwe tume huru ya uchaguzi halafu haki iwepo na kusiwe na mizengwe uone kama atachomoka na mbunge hata mmoja. Usijidanganye na takwimu fake za matumizi mabovu ya vyombo vyetu vya dola ktk kulazimisha ushindiMkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
P
Kwa hizi chaguzi ambazo Magufuli ndio anaamua nani atangazwe mshindi hayo unayosema wala sio utabiri bali itakuwa hivyo labda itokee machafuko. Huu utabiri wako ni sawa na kusema kesho jua litachomoza upande wa mashariki. Sasa kama rais anahutubia leo na kuipongeza ccm kwa ushindi wa kishindo huku haijashindana hapo kuna utabiri?
Heche katibu mkuu mpya ni miongoni mwa waliopiga deki pale Musoma!
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
P
[/QUOTE
Mkuu haya uliyoeleza yakitokea mbeleni si kosa la Mbowe bali ni kutokana na aina mpya ya siasa ya ajabuajabu iliyoshika kasi awamu hii ya tano. Hata angeingia mwenyekiti mwingine badala ya Mbowe hayo uliyosema hayakwepeki. Tusiyafurahie. Siasa ni staha na kanuni, kanuni ikivunjwa kibabe kama ilivyo leo hii nchi inaweza kuyumba.
hayo mawazo ni yako wew civil war !! Kwa lipi hasa?Then the country will be tending in a civil war direction!
Una matatizo we mwanamke wa kizaramo umezidi umbeaUkiwa mwanasiasa ni lazima uwe na ngozi ngumu kama wewe unavyomtajia kidume kibajaji kila uchwao!
Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
P
Ramli chonganishiHizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!
Hizi ni habari njema kwa wapenda demokrasia, wapenda mabadiliko na wapenda maendeleo wote kwamba mh Mbowe endapo atachaguliwa tena kuwa Mwenyekiti basi atakaa madarakani kwa mwaka mmoja tu kisha atajiuzulu na kumuachia uongozi Tundu Antipas Lisu.
Mtoa habari wangu ambaye sitamtaja kwa sasa hadi hapo baadae ameniambia Mbowe binafsi anajisikia kung'atuka lakini kuna mambo ya kukamilisha kwanza na muhimu ni kuhakikisha Chadema inapata wabunge na madiwani wa kutosha katika uchaguzi mkuu.
Mwenyekiti anataka kuiacha Chadema ikiwa na rekodi bora zaidi kuizidi ile iliyosababishwa na ujio wa mzee Lowassa mwaka 2015, amesisitiza kamanda huyo wa Chadema.
Maendeleo hayana vyama!
Jopo la wanasheria nguli lipo Canada bwashee!Tunaomba pia mrejesho wa ndege yetu kesi ya mkulima mkuu.
Labda yeye ndio anajichanganya!Mbowe anawachanganya akili sana
Kilongola where have you been, almanusura nianzishe uzi hapa '...' title yake inatabirika kabisa.Wanarukaruka mno
Cecilia teh teh tehCecilia mwambe Ndio mrithi wa Mbowe
Mambo mwakani hayatakuwa rahisi kama unavyodhani.CDM watapata wabunge wa Kutosha.Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.
I'm afraid, kwa 2020, the time left is too little too late!.
Uchaguzi 2020 - Kukubalika kwa Rais Magufuli/CCM: Kishindo cha asilimia 99.9% ni mawingu tu ya dalili, mvua ni 2020, ni lele tu, ngoma ni 2020!
Wanabodi, Kuna msemo wa Waswahili usemao, " Mwanzo wa ngoma ni lele" na "Dalili ya Mvua ni Mawingu". Tukubali, tukatae, huu ushindi wa kishindo cha Magufuli, cha asilimia 99.9% kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni mawingu tuu ya dalili za mvua, lakini mvua yenyewe ni Uchaguzi Mkuu wa 2020...www.jamiiforums.com
Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?
Wanabodi. Hili ni bandiko la swali kuhusu Trend Reading. Wanaohamia CCM Wasibezwe, Wanaona Mbali, 2020 Majimbo Yote Kurejeshwa?, Jee Tunarejea Kuwa Nchi Chama Kimoja? Trend reading sio utabiri, bali ni matumizi ya analitical na logical thinking kwa kila jambo lililofanyika huangalii tuu hilo...www.jamiiforums.com
Hata yeye tu mwenyewe kuretain jimbo la Hai ni mashaka!. Mbunge mtarajiwa wa Hai kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, CCM ni huyu...
Kiukweli kabisa, DC Jerry Murro, yuko vizuri!, ni visionary leader mwenye vision, mission, uwezo na kipaji. Anastahili kuwa RC, atakuwa kama Mtaka!.
Wanabodi, Declaration of Interest Jerry Murro, namfahamu vizuri, sio tuu kama mwandishi na mtangazaji mwenzagu, bali tangu alipokuwa UDSM, utangazaji wangu ndio ulikuwa inspiration kwake kuingia fani ya utangazaji, hivyo hapa namsifu sio kwa sababu namjua au kutaka kumfagilia, bali baada ya...www.jamiiforums.com
Hivyo atakachokabidhi hiyo 2020 sio Chadema kama chama, bali ni skeleton ya iliyokuwa chama cha Chadema!.
P
Msijisifu sana kwa huu wembe, watu hawana furaha na matokeo ya mtu asiye na furaha hufanya chochote kubadlili hali.Mkuu Yohana Mbatizaji, kama hii tetesi ni kweli, then ataondoka kwa aibu na huku amenyongonyea sana, kwasababu ule wembe uliotumika kuwanyolea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, ni ule ule utatumika uchaguzi wa 2020.