Rogers luyangi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2014
- 552
- 948
Ni shida sana kujibu maswali yako ya kitoto.
Kama hujui Walioianzisha Simba utakuwa ni toto jinga wewe ila nakushauri tu ingia Google utapata kila jibu la swali lako kijana
why not wanapiga double striker pale mbele kama mna mabeki wa kupanda hakuna atakayethubutu kutoa mguu wake huko nyuma, manzoki ni mkali kuliko mayele, yuko fast, mrefu aanakimbia anapiga chengaSimba wanaongoza ligi Yanga hili hawataki,chakufanya nikuwagombanisha simba na mashabiki zake morali ya kusapoti timu ipungue...Manzoki kweli anaweza kwenda yanga ila huu usajiri utakua wakimkakati sana sio wakujaza nafasi kwenye timu yao
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Dogo ana muhemko sana iyo pesa unqpatq DM na striker afu chenchi inabakMchezaji kabakiza miezi miwili utatoaje milioni 400?
Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
Uto wqnamchukua bobosiwhy not wanapiga double striker pale mbele kama mna mabeki wa kupanda hakuna atakayethubutu kutoa mguu wake huko nyuma, manzoki ni mkali kuliko mayele, yuko fast, mrefu aanakimbia anapiga chenga
he is lethal, kama unahitaji kufika nusu fainali ya afrika basi unahitaji mtu kama yule na mayele pembeni na aziz ki kama ni kweli niamini mimi yanga in 2 years itatisha sana afrika
naomba tetesi hizi zisiwe za kweli zitaumiza wanasimba wengi roho sana sana tu kwa sababu tatu kuu:TULIAMINISHWA *KWAMBA SIMBA INAPATA MCHEZAJI YOYOTE INAYEMTAKA ILIMSHINDWA ADEBAYOR TU
*USHAMBULIAJI BADO NI BUTU SANA
*INAONYESHA TEAM HAINA MISULI YA KUPATA WACHEZAJI QUALITY ZAIDI YA MBWEMBWE ZA KUSHANGILIA KUINGIA BIG DEALS ZA WADHAMINI
hata hapo watakuwa wamefanya la maana that means wanajitambua sana ,bobosi bonge la kiungo na kama tunaambiwa mchezaji mwenye mkataba wa miezi miwili anatakiwa alipe milioons 400 je bobosi sasa?Uto wqnamchukua bobosi
Kuna kushinda na kuna kushindwa, usipokubaliana na hali hizo utakuwa sio mshindani.Kama hii ni kweli, basi kuna kazi sana Simba, na ngonjera za We are unstoppable ni porojo tupu.
labda asingekataa zile bilions 3 za azam kwa mwaka kusingekuwa na kilio cha kukosa hela ya manzoki.....ni suala la muda tu mengi yataanza kuhojiwa sababu yale mambo ya yes madam watu wanaanza kuyakataa mtandaoniDeal la Manzoki linaweza kumuexpose kubaya Babra, ajitafakari na saga hili litamfanya achukiwe sana na pia litaibua vitu vingi nyuma ya pazia.
Club kama Simba ni ya kumudu kumuongezea Mkataba Mzamiru, kumnunus Kyombo, Dejan, kumlipa mshahara Boko na Nyoni ila kumnunua Manzoki ndo iwe kazi?
Hivi kwa akili tu ya kawaida kweli kuna team Africa itakubali imuachie striker mwenye kaliba ya Manzoki for free?
Asee umekuja jf?Simba sio Manzoki, na Manzoki sio Simba!
Huwez kumpa pesa mchezaji anayeongezewa Bei na timu yake isivyo sawa Ili TU kuwafurahisha mashabiki
Shughuli ya Sakho anaijua nani mzee? Mchezaji mfupi kama PUMBU, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikikuuma ichomoe taratiiiiibu usije ikakuchubua sasa.Pumba tupu. Aliyekwambia mpira ni urefu nani? Au ndo nyie wadada mnaoshabikia mpira kwa msukumo wa waume zenu?
Miquisone, Sakho na sampuli nyingine kama hizo shughuli yao inafahamika kwenye pitch.
Sakho hadi kachukua kiatu kwa goli bora Africa nzima na ufupi wake. Acheni kufikiria mambo kwa mazoea.
Ndiyo maana labda naanza kuamini maneno ya wengi kwamba maamuzi mengi ya bodi yule dada anayakataa ..unajua abdul sopu walivyoshindwana?Simba kuna shida kwenye management! Sisi tuliokuwa na msimu mbovu last year mpaka sasa tunabahatisha! Lawama kwa viongozi! Au Try again anashindwa kujisimamia!
Yes Ricky banda hata kampamba kiungo mkabaji walikuwa kwenye nafasi nzuri ya kumpata wakalegea sasa naona hadi team ya ujerumani ishaweka dollar millions 1 mezani kumchukua toka zescoSimba scouting yetu ni very poor! Kuliko mzungu si bora yule mfungaji bora wa Zambia kama Manzoki tumeshindwa! Hii timu ndio walimaliza usajili hii?
hapo ndo anaposhindwa, akili zake ni za darasani maana naskia hata university huko london alikuwa kichwa kwelikweliBarbara ni mbeba mafaili tu mkaona mumpe uCEO, Hizi timu haziitaji sana viongozi wasoma vitabu darasani bali wajua umafia wa mpira