Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

Hacha mawazo chakavu.
Wauzaji wangelipewa zaidi ya wanachokipata kutoka kwa hao wanunuzi wa Rwanda wasingeli endelea kuwauzia.

NB;
Kuna twiga na wanyama wengine waliuzwa na wanaendelea kuuzwa huko Uarabuni,kontena za pembe za ndovu huko Vietnam hukumatwa na kudaiwa zinatoka Tanganyika hakuna mwenye kuleta mrejejesho huwa zinaendaje huko.
 
Polisi,Uhamiaji na TRA wako wapi kazi kufukuzia vitu vidogo vidogo tu rahisi.Haiwezekani
 
Nyie mmeona madini TU!!?

Rwanda ndio inaongoza Kwa mbali duniani Kwa kuuza mafuta ya karanga ambayo wanakusanya hapa Bongo maeneo ya Ziba!!

Sisi watz na serikali yetu ni kama hatuna akili za kufikiria kabisa ndio maana malighafi zetu zinatumika kama mtaji Kwa wageni na kujipatia mahela ya kutosha!!!​
 
Polisi wapo kwaajili ya ushindi was CCM na kulinda wanasiasa mafisadi dhidi ya Raia wazalendo!!

Ndio maana wazalendo wasema kweli wanakamatwa Kila siku!
 
Hakuna ubaya.mchimbaji anaangalia kwenye faida.Siyo kuuza kwenye masoko haya ya kihuni ya hapa nchini ambayo unalipishwa Kodi lukuki na kupata faida ndogo.wanyarwanda wananunua Kwa bei nzuri sana.
 
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.

Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.

Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.

Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.

Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Nafikiri hakuna shida kama wanalipa Kodi sitahiki. Kama hawalipi kodi basi waanze, kukamatwa. Pia, pale Tunduru kuna wa Sri Lanka wengi wananunua madini. Wananunua usiku.Kwa hiyo wananunua illegal na kukwepa kodi.
 
Hakuna mzalendo Tanzania, wacha wauze tu, maama hata wasipouza ccm watakuja kuuza migodi kabisa.
 
Nyie mmeona madini TU!!?

Rwanda ndio inaongoza Kwa mbali duniani Kwa kuuza mafuta ya karanga ambayo wanakusanya hapa Bongo maeneo ya Ziba!!

Sisi watz na serikali yetu ni kama hatuna akili za kufikiria kabisa ndio maana malighafi zetu zinatumika kama mtaji Kwa wageni na kujipatia mahela ya kutosha!!!​
Huko Ziba ni wapi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.

Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.

Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.

Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.

Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Asante sana kwa taarifa nzuri
 
Nafikiri hakuna shida kama wanalipa Kodi sitahiki. Kama hawalipi kodi basi waanze, kukamatwa. Pia, pale Tunduru kuna wa Sri Lanka wengi wananunua madini. Wananunua usiku.Kwa hiyo wananunua illegal na kukwepa kodi.
Wa Sri Lanka wanaishi upande wa Tanzania au wanakuja usiku kutokea nchi jirani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani uingie risk zote hizo na kutoa rushwa juu ku smuggle madini wakati masoko yapo na mzigo unapatìkana wa kutosha! Ila pia Apple ananunua Almas akaifanyie nini kwa vifaa anavyotengeneza? Hii iwekwe kwenye tetesi.
 
Wewe utakua mnyarwanda labda. Kinachodaiwa hapa madini yanatoka nje ya nchi kwa magendo. Kama wanunuzi wa Rwanda wanakuja kihalali kwenye masoko yetu kununua madini hakuna shida. Tatizo madini yanatoka kimagendo kama mpango wa serikali ya Rwanda. Tanzania serikali haipati ushuru wowote wala hela ya kigeni zozote. Kisha rwanda inauza madini hayo kama yametoka nchini kwao na kupata hela za kigeni wao. Hii ni sawa na wanavyofanya kwa congo. Tena kule kivu wanamiliki migodi kibabe kwa kuweka jeshi lao wakijidai kuna uasi wa M23 kisha wanapeleka rwanda madini kwa ndege ndogo zinazotua maeneo wanayamiliki kijeshi na kupeleka madini rwanda kisha kuyauza nje kama yametoka rwanda.
Shida madini yanaondoka kimagendo,hayalipi Kodi matokeo sisi tunapoteza mapato makubwa
 
Rwanda akili Kubwa. Kwqnza wanajengea watu wao capacity halafu ndio wapambane na Dunia.

Sisi tunawagawia Waarabu.

Kwa mahali tulipo, warwanda wapewe maua yao.
 
Nawapongeza sana wachimbaji hao...

Maana kimsingi hakuna juhudi za makusudi kuhakikisha maisha bora kwao kutoka serikalini...

Kodi inachukuliwa inaelekea Dar...

Wananchi wa mikoa hiyo hata maji wanakosa.
Naunga mkono hoja
 
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.

Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.

Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.

Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.

Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Huu ni udaku sio habari
 
Back
Top Bottom