Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Polisi wapo kwaajili ya ushindi was CCM na kulinda wanasiasa mafisadi dhidi ya Raia wazalendo!!Polisi,Uhamiaji na TRA wako wapi kazi kufukuzia vitu vidogo vidogo tu rahisi.Haiwezekani
Nafikiri hakuna shida kama wanalipa Kodi sitahiki. Kama hawalipi kodi basi waanze, kukamatwa. Pia, pale Tunduru kuna wa Sri Lanka wengi wananunua madini. Wananunua usiku.Kwa hiyo wananunua illegal na kukwepa kodi.Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.
Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.
Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.
Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.
Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.
Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.
Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Huko Ziba ni wapi mkuuNyie mmeona madini TU!!?
Rwanda ndio inaongoza Kwa mbali duniani Kwa kuuza mafuta ya karanga ambayo wanakusanya hapa Bongo maeneo ya Ziba!!
Sisi watz na serikali yetu ni kama hatuna akili za kufikiria kabisa ndio maana malighafi zetu zinatumika kama mtaji Kwa wageni na kujipatia mahela ya kutosha!!!
Asante sana kwa taarifa nzuriKuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.
Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni watanzania.
Wanachofanya ni kununua almasi na dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na kuiuza nchini Rwanda kimagendo kwa siri kubwa sana. Jengo la ununuzi lipo jijini Kigali na Rushwa hutumika pakubwa kuwazima mamlaka za mipakani.
Inadaiwa wafanyabiashara hawa hufanya biashara nyingine halali kati ya kanda ya ziwa na Rwanda huku lengo fiche ikiwa ni madini ya Tanzania.
Haikubainika ikiwa kampuni ya APPLE ambayo huyanunua madini hayo kutoka serikali ya Rwanda kama inayo habari kuwa madini hayo hutoka nchini Tanzania.
Source: Wachimbaji wadogo Geita na Shinyanga.
Wa Sri Lanka wanaishi upande wa Tanzania au wanakuja usiku kutokea nchi jirani?Nafikiri hakuna shida kama wanalipa Kodi sitahiki. Kama hawalipi kodi basi waanze, kukamatwa. Pia, pale Tunduru kuna wa Sri Lanka wengi wananunua madini. Wananunua usiku.Kwa hiyo wananunua illegal na kukwepa kodi.
Shida madini yanaondoka kimagendo,hayalipi Kodi matokeo sisi tunapoteza mapato makubwaWewe utakua mnyarwanda labda. Kinachodaiwa hapa madini yanatoka nje ya nchi kwa magendo. Kama wanunuzi wa Rwanda wanakuja kihalali kwenye masoko yetu kununua madini hakuna shida. Tatizo madini yanatoka kimagendo kama mpango wa serikali ya Rwanda. Tanzania serikali haipati ushuru wowote wala hela ya kigeni zozote. Kisha rwanda inauza madini hayo kama yametoka nchini kwao na kupata hela za kigeni wao. Hii ni sawa na wanavyofanya kwa congo. Tena kule kivu wanamiliki migodi kibabe kwa kuweka jeshi lao wakijidai kuna uasi wa M23 kisha wanapeleka rwanda madini kwa ndege ndogo zinazotua maeneo wanayamiliki kijeshi na kupeleka madini rwanda kisha kuyauza nje kama yametoka rwanda.
Wanaishi pale Tunduru. Wapo nyomi. Na vijana wa bongo yetu hawajui hata thamani ya madini. Anauza madini ya 600m kwa 60m.Na anauza usiku.Wa Sri Lanka wanaishi upande wa Tanzania au wanakuja usiku kutokea nchi jirani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaNawapongeza sana wachimbaji hao...
Maana kimsingi hakuna juhudi za makusudi kuhakikisha maisha bora kwao kutoka serikalini...
Kodi inachukuliwa inaelekea Dar...
Wananchi wa mikoa hiyo hata maji wanakosa.
Huu ni udaku sio habariKuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo.