Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
Okey.. bro nimekupata. Haina haja ya kushindana nao maana wote tuliopo vyuoni lengo letu ni moja regardless mtu anasoma chuo gani.Hawa wafunzi wa UDSM wana dharau sana vyuo vingine na kujiona wao ni kama Havard au MIT .... Mie sikua na lengo la kufikia hapa tulipofikia...
Hawa ( wafunzi ) wa UDSM wana dharau sana vyuo vingine na kujiona wao ni kama Havard au MIT .... Mie sikua na lengo la kufikia hapa tulipofikia...
hata kama ni za kawaida.mbona wewe ulishndwa kuzipata,ukaishia kupelekwa huko muccobs chuo ambacho hadhi yake ni sawa na secondary ya kata?
wewe bata kweli udsm , nina marafik zangu wanasoma sociology ,education na pspa walikuwa na three,sasa hiv kwa mfumo wa t.c.u hata ukiwa na one au two unaenda popote
wewe bata kweli udsm , nina marafik zangu wanasoma sociology ,education na pspa walikuwa na three,sasa hiv kwa mfumo wa t.c.u hata ukiwa na one au two unaenda popote
Hayo maswali ya sifa za kujiunga udsm ziko je.nadhan iko open,udsm wanachukua cream zote zinazotaka kusoma masomo yanayohusiana na uhandisi,uchumi na biashara,sheria,ualimu,na kozi zingne za arts na science..sasa kwa mwaka huu vijana wengi wamepata dv 3 tena zile chafu kitu ambacho kinawanyima sifa ya kuja mjengoni.
UDSM is the no.1 versity in TZ. so lazma sifa za kujiunga ziwe tofauti na vyuo vingine.hawabebibebi hovyo kama UDOM na wengine wengi.
Kwani udsm wanatumia sifa gani? hamna lolote sifa za kawaida tu kujiunga udsm
kweli hata kaka yangu alipata dv 3 point 13 anasoma BaEd UDSM
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.
source; Soma startegic plans za udsm
Ungejaribu uone kama hata form wangekupa
hata kama ni za kawaida.mbona wewe ulishndwa kuzipata,ukaishia kupelekwa huko muccobs chuo ambacho hadhi yake ni sawa na secondary ya kata?
wewe bata kweli udsm , nina marafik zangu wanasoma sociology ,education na pspa walikuwa na three,sasa hiv kwa mfumo wa t.c.u hata ukiwa na one au two unaenda popote
Hayo maswali ya sifa za kujiunga udsm ziko je.nadhan iko open,udsm wanachukua cream zote zinazotaka kusoma masomo yanayohusiana na uhandisi,uchumi na biashara,sheria,ualimu,na kozi zingne za arts na science..sasa kwa mwaka huu vijana wengi wamepata dv 3 tena zile chafu kitu ambacho kinawanyima sifa ya kuja mjengoni.
kweli hata kaka yangu alipata dv 3 point 13 anasoma BaEd UDSM
NIMESOMEA SECONDARY ZA VIPAJI MAALUMU ,Halafu anataka tumwamini kuwa yuko Chuo Kikuu! Tehe tehe. Kile chuo yuko jamaa yangu pale anafundisha kwa hivyo napajua ipasavyo. Huwezi kuilinganisha sekondari yoyote serious na Muccobs achilia mbali chuo cha maana.
unachokiongea haukijui...