Benito Josh
Member
- Jul 30, 2012
- 74
- 14
NIMESOMEA SECONDARY ZA VIPAJI MAALUMU ,
WEWEE NIMESOMA SPECIAL SCHOOL FORM ONE MPAKA SIX NA KOTE NIMEPATA ONE , HALAFU HUNA AKILI UTAFANANISHAJE CHUOKIKUU NA SECMDARY MUCCoBS IMEANZISHWA MIAKA YA 60, NA NDIO CHUO PEKEE KINACHOFUNDISHA MASOMO YA USHIRIKA,
Kwani udsm wanatumia sifa gani? hamna lolote sifa za kawaida tu kujiunga udsm
wenye akili wanapita hapa na hawachangii chochote, thread ya kijinga sana.
Unalinganisha Waseda na Westminster? tazama rank ya hivyo vyuo kidunia alafu unipe jibu...
Tazama world ranking hapo Waseda na hicho chuo chako
QS World University Rankings - 2012 | Top Universities
Then tazama ndani ya Japan ni cha ngapi alafu ulinganishe na chuo chako..
Top Universities in Japan | 2013 University Web Rankings
wee mimi nimesomea special school form one mpaka six ,mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,
mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,
wee mimi nimesomea special school form one mpaka six ,
wewe ulikuwa unamuuliza zeduduz mwaka jana eti kozi za biashara wamechukua mpaka three ulikuwa na three mzembe wewe umesomea shule za kata form i mpaka 6, , au niulete uzi ule wa zeduduz uabike? Una rekodi chafu toka primary wewe umesoma shule za kataa,
UDSM is the no.1 versity in TZ. so lazma sifa za kujiunga ziwe tofauti na vyuo vingine.hawabebibebi hovyo kama UDOM na wengine wengi.
wee unaongea nini mimi najaribu kubisha kwamba wanaosoma vyuo tofauti na udsm hawajapata one ,mimi ni product ya shule za vipaji maalumu na najivunia kusomea shule hizo, za vipaji, udsm mpaka three zipo , na hakuna chuo kikuu chochote tanzania ambacho hakichukui three ,kama kipo kitaje maskini wa hoja wewe, mimi ni kipaji kuanzia primary mpaka secondaryacha mbwembwe wewe. Division i ungeenda ushirika? Come on! Majority hapo ni wazee wa iii chafu chafu hata tirdo hawawatambui.
We sema namshukuru mungu nasoma. Haijalishi nafundishwa na kutahiniwa na tas bora liende. Haijalishi wenye qualification za kuwa wahadhiri hawafundishi wanakula bata za administrative posts, bora liende.
Hizi mbwembwe bwana mdogo hazitakusaidia.
ONA JINS ALIVYOMJINGA! MUCCoBS NI CONSTITUENT COLlege ya SUA ,MJINGA WEWE UNA UELEWA UNAKURUPUKA TU ,
WEWE PERR WEWEE KIPINDI KILE ZEDUDUZ ANATOA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA UDSM ,ULIWAHI KUMUULIZA ZE DUDUZ" KWA KOZ ZA BIASHARA WAMECHUKUA MPAKA THREE ?" hilo ni swali ulimuuliza ze duduz ikimaanisha wewe ulikuwa na three
Limbukeni wa Elimu.. Nimesoma DIT and now Waseda university Japan.... unadhani wote ni level yako?
asa mbona wewe ulyesoma special school uko muccobs,afu ce 2losoma shule za kawaida 2ko udsm?nikunongoneze 2,nenda pale arusha sec kaulize kijana alyepiga dv one kali kwenye matokeo ya kidato cha 4 mwaka 2009 anaitwa nani,then uende tena pale minaki sec uulzie darasa la hge lililomaliza mwaka 2012,ni kijana gani alifumua dv one kali.ukimalza huko kote ndo uje uanzishe ligi na mie..kubali we kilaza 2..vipanga wako udsm,mzumbe,muhmbili na sua{main cumpus}sio wewe uko cjui muccobs tena unasoma likozi la kiboya.pimbi wewe,jilaumu kwa kuwa kilaza hadi ukaishia huko ulikotupwa.by the way watu walosoma special schools huwa hawana mambo ya kike kama wewe..
Hayo maswali ya sifa za kujiunga udsm ziko je.nadhan iko open,udsm wanachukua cream zote zinazotaka kusoma masomo yanayohusiana na uhandisi,uchumi na biashara,sheria,ualimu,na kozi zingne za arts na science..sasa kwa mwaka huu vijana wengi wamepata dv 3 tena zile chafu kitu ambacho kinawanyima sifa ya kuja mjengoni.