Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.


hongera mkuu kwa kufaulu vizuri sana we ni kichwa,kwenye iyo combination unasomea kozi gani?jiandae mkuu kwa kujiajili hiyo comb kozi zake kupata ajira ni kizungumkuti,may be kama unasomea ualimu.
anyway elimu unayopata nategemea ikusaidie kuja kujiajili apo badae,
tofauti na apo utaishia kwenye frastruation mbaya hadi itabidi uzikane hizo one zako kali. nakuatakia masomo mema
 
ok mpigamsuli umesoma shule za vipaji then what ni kwamba unajitangaza ungepitia comnents zako hapo juu ungeona ni jinsi gani ulivyo pimbi. tuambie sasa umefanya nn cha maana mpaka sasa unanufaisha vp jamii yako unaingizaa sh ngapi per day. kwani aliyesoma shule za kata na aliyesoma vipaji wote si mmepata elimu
 
Last edited by a moderator:

ebu ona ulivo na akili ndogo,ndo maana ukawa ushirika kwa washirika wenzio msio na akili timamu..asa kuulza kama wamechukua had dv 3 ndo kuwa na mie nna 3,what if kuna ndugu,jamaa na marafiki zangu walokua na dv 3 walokua wameomba udsm?tell u somethng kozi yangu ninayosoma the last person ana dv 1.9..asa we endelea kupiga kelele,cjui ulisoma special school na blah blah nyingne wakati uko kwenye lichuo la ushirika.
 

kwani minaki mwaka 2012 ni ya ngapi kitaifa? Na taboraboys 2012 ni ya ngapi kitaifa?, halafu arusha sec ni ya ngapi kitaifa? Na mzumbesec ni ya ngapi kitaifa?? , ukweli ni kwamba ukisimama mbele za watu na kusema umesomea special school mojakwamoja wewe ni division one kali na aaa au aab, ukisema udsm unaweza ukawa na one au three,
 

uongo mtupuuuu wewe ni zao la shule za kata, huwez kujilinganisha na mimi? ,,lazma ukubali kwamba udsm wanachukua mpaka three, ushahidi ninao marafiki zangu niliosoma nao wapo hapo udsm kubali kataa huo ndo ukweli
 

hahaha mkuu, nikuweka sawa huyo perry kwamba mimi sio wa level yake
 
Last edited by a moderator:
Sababu kubwa ni
1}wengi wa applicants hawana sifa za kujiunga na udsm
2}kukabiliana na tatizo la accomodation.
3}ufinyu wa vyumba vya madarasa.
Source:mtu kutoka ofisi ya prof maboko{DVC-academic}

Kuna sababu nyingine pia. Naafasi za vyuo vikuu ni nyingi kuliko waombaji. Mfano, safari hii naafasi vyuo vyote vina uwezo wa kudahili zaidi ya wanafunzi 88,000. Wakati waombaji ni chini ya 68,000.
 
mjinga ni wewe na wana ukoo wako..ungekua kipanga ungesoma chuo cha kata pimbi wewe.wajanja wako udsm,sua,mzumbe na muhimbili,
Duh mpaka wewe "mjanja" nawe ni msomi tena wa UD hongera zako,acha mi mjinga niisukume hii semester hapa chuo changu cha kata HKMU si unajua tena tulikosa sifa za kujiunga UDSM
 
Mkuu kumbe ulisoma Arusha sec then Minaki HGE..........kweli unadeserve kuisifia UD as graduates hulipwa mishahara yao kutona na vyuo walivyosoma
 
anayekupinga namuona wa ajabu
UDSM ni cream tu.
kweli kaka UDSM ni cream tu hakuna Division three pale na wote huwa hanatoka na first class na kulipwa mishahara minono na wengi hujiajiri wenyewe wakimaliza chuo......!!(interesting thread)
 
hata kama ni za kawaida.mbona wewe ulishndwa kuzipata,ukaishia kupelekwa huko muccobs chuo ambacho hadhi yake ni sawa na secondary ya kata?

Vijana pigeni kazi / shule acheni kukatishana tamaa kwani haiwezekani kila mtu asome UDSM kikubwa ni kumshukuru mungu kwa chuo ambacho umepangiwa kikubwa tu degree utakayoipata inatambuliwa kwani msomi sie tuliopo uraiani tunamtambua kwa namna gani anaitumia elimu yake kulingana na mazingira aliyopo pia kila chuo kuna baadhi ya kozi wanakuwa vizuri na kuna baadhi ya kozi wanakuwa kidogo si nondo sana (especially zile mpya mpya). Assuming ikatokea wanafunzi wote walioomba TCU wamefaulu kwa mark za juu bado kuna ambao watapelekwa UDSM na bado kuna ambao watapelekwa hivyo vyuo vingine.

Jamani shukuruni hata hivyo vyuo vingine maana wenzenu waliosoma about 10 years ago unakuta mtu ana Division 2 anakwenda kusoma Diploma au Advanced Diploma kwa kuwa vyuo vyenyewe vilikuwa viwili SUA na UDSM vingine vingi ilikuwa ni taasisi za elimu za juu na vyuo vinavyotoa Diploma, sasa siku hizi mtu anapiga Div 3 anakwenda Chuo Kikuu hapo naona kama poa sana
 
hamna m2 ambaye hakua na ndoto zakufika udsm,xema 2 ndo mambo yakaenda vbaya hlo lazma mkubal,nisawa na wanafunz wa 4m1 kila m2 hua anapenda science lakin mambo yakiwashnda ndo wa2 wa arts wananza kujitokeza xo v2 vngne 2we 2nakubali jaman
 

We kweli mgonjwa. Nashangaa unajituhumu elimu ya Chuo Kikuu. Kwa waliokuwa hawaelewi, kuna vilaza kibao waliopitia Mzumbe. Mmoja wao ni wewe uliyeishia kufundishwa na watu wanaojifunza kufundisha higher learning na bado unajipiga piga kifua. Loser.
 
we kweli mgonjwa. Nashangaa unajituhumu elimu ya chuo kikuu. Kwa waliokuwa hawaelewi, kuna vilaza kibao waliopitia mzumbe. Mmoja wao ni wewe uliyeishia kufundishwa na watu wanaojifunza kufundisha higher learning na bado unajipiga piga kifua. Loser.
kijana mimi ninachotaka kusema na umma uelewe kwamba udsm sio one pekeyake mpaka three, na wanaosoma vyuo tofauti na udsm sio kusema hawakupata division one, udsm kuna one mpaka three, na vyuo vingine kuna one mpaka three, mfano mimi hapa nimepata one level zote, NAJUA UNAKIRI ILA UNAONA HAYA!NA UNATAKA KUWADANGANYA WATU KWAMBA UDSM NI ONE PEKEYAKE
 
hamna m2 ambaye hakua na ndoto zakufika udsm,xema 2 ndo mambo yakaenda vbaya hlo lazma mkubal,nisawa na wanafunz wa 4m1 kila m2 hua anapenda science lakin mambo yakiwashnda ndo wa2 wa arts wananza kujitokeza xo v2 vngne 2we 2nakubali jaman
umeshirikisha ubongo ulivyokuwa unaandika hii comment???
Mawazo ya kitoto hayaa sidhani hata mtoto wa shule ya msingi ataandika hivi
 

huyu jamaa anamtindio wa ubongo!! Nina ushahidi marafiki zangu walikuwa na threeformsix sasa hivi wapo udsm ,kozi za sociology,pspa, masscom, lazma ufike hatua ukubali udsm three zipo na vyuo vingine three zipo,, unataka kuudanganya umma kwamba udsm wanachukua cream kama specialschool kitu ambacho sio kweli ,,zamani kutokana na ufinyu wa vyuo ndo kulikuwa na vigezo vikali ili kuwapata walewachache, sasa hivi unaweza kukuta three udsm,three sua, three mzumbe,three teku, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…