Tetesi : Uvaaji na uingizaji mawig nchini kupigwa marufuku ifikapo 2019

Tetesi : Uvaaji na uingizaji mawig nchini kupigwa marufuku ifikapo 2019

Jana nilikuwa namsikiliza dada mmoja anahojiwa BBC, muandishi mzungu akamuhoji, akauliza upandishwaji wa kodi za bidhaa za nywele za kubandika kwa asilimia 25 utaathiri vipi Watanzania? Aakamuuliza watu walio nje ya Tanzania hawajui hizi bidhaa zina umuhimu gani? Nani anavaa? Kwa nini?

Dada akawa analalamika, anasema unajua sisi Waafrika hatuna nywele ndefu, nywele zetu zinatumia muda mrefu kukua, hivyo hizi bidhaa zinasaidia kutufanya tuonekane na nywele ndefu, tuende na fashion.

Alikuwa anaongea huyo dada, ila aibu nikaona mimi mpaka nikastop stream channel ya BBC World Service kwenye Tune In app ya simu yangu.

Unaweza kumsikiliza mwenyewe kwenye link hii hapa

Waafrica hawajikubali kama Mungu aliwaumba wazuri. Kwenye ngozi wanatumia carolite na nywele wanavaa wawigi . Mawigi ni nywele za wahindi au wazungu. Wakishazinyoa wanauza . Manywele yale ni mikosi kwasababu yanapitia kwenye imami ya Hindu
Naomba hizi tetesi ziwe za kweli aisee. Watumiaji wote anzeni kufanya mazoezi ya kuwa natural, maana pengine na vitu vingine vikazuiwa pia.

Maswala unakuta eti Chausiku nae ananywele hadi mgongoni, au Pili anang'aa usoni alafu viwiko kama aliegemea vumbi la mkaa au oil chafu.

Huu mwaka ndio mwisho wa hayo mambo.

MSISEME HAMKUAMBIWA

Analyse
 
Aishi apendavyo but bila kukwaza watu wanaomzunguka au katika jamii. Ukisema hivyo maana ushoga , usagaji , watu wakilana mzigo hadharani ilimradi hawajakukwaza it's ok. Watu wakiamua kutembea uchi Sawa .Hayo mawigi ni kero kubwa
Japo sivai mawig lakini nimependa hii comment yako kila mtu aishi atakavyo,yani sijui mwingine akivaa tena hakuhusu inamuuma nini au yakikatazwa atapata faida gani.
 
Aishi apendavyo but bila kukwaza watu wanaomzunguka au katika jamii. Ukisema hivyo maana ushoga , usagaji , watu wakilana mzigo hadharani ilimradi hawajakukwaza it's ok. Watu wakiamua kutembea uchi Sawa .Hayo mawigi ni kero kubwa
Mawigi ni kama mifuko ya plastic. Ikifika kipindi wazuie uzalishaji wake viwandani.
 
Mawigi ni kama mifuko ya plastic. Ikifika kipindi wazuie uzalishaji wake viwandani.
Ndugu yangu mawigi ni nywele kabisa za wahindi au wazungu wanazinyoa. Pia kwa wahindi kuna mambo ya kidini Yao mawigi yanapitishwa huko ndio yanaletwa kuuzwa kwa Dada zetu weusi. Mawigi ni nywele halisi zingine huchukua nywele za marehemu na kuziuza
 
Sasa kama zinapitia process zote hizo. Si zitakuwa zinawaathiri dada zetu.
 
Angalia YouTube jinsi process zinavyotengenezwa. Inawezekana zina mashetani. Dini za wahindi wanaoabudu ngombe na temple na masanamu. Nywele wananyoa wanatoa kama sacrife kwa miungu Yao halafu ndio huuziwa Dada zetu Wakiafrika ili kumeet standards za uzuri kama wa wazungu au Asian's.

Duuuuu

Hata hizi ambazo ni locally made zilizowekewa 10% ya kodi nazo zinapitia process hiyo hiyo kwenye kutengenezwa ?
 
Duuuuu

Hata hizi ambazo ni locally made zilizowekewa 10% ya kodi nazo zinapitia process hiyo hiyo kwenye kutengenezwa ?
Hizi ambazo ni locally made sielewi zinapitia process ipi Ila hizo ambazo zinakuwa imported from outside Tanzania kule kwa wahindi it follows that process
 
Hivi haya madude hayako kundi moja na mifuko ya plastik? Au kwa kuwa sio vibebeo? Sijui yako kwenye vifungashio maana hayakuguswa hii phase 1
 
Back
Top Bottom