Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Jana nilikuwa namsikiliza dada mmoja anahojiwa BBC, muandishi mzungu akamuhoji, akauliza upandishwaji wa kodi za bidhaa za nywele za kubandika kwa asilimia 25 utaathiri vipi Watanzania? Aakamuuliza watu walio nje ya Tanzania hawajui hizi bidhaa zina umuhimu gani? Nani anavaa? Kwa nini?
Dada akawa analalamika, anasema unajua sisi Waafrika hatuna nywele ndefu, nywele zetu zinatumia muda mrefu kukua, hivyo hizi bidhaa zinasaidia kutufanya tuonekane na nywele ndefu, tuende na fashion.
Alikuwa anaongea huyo dada, ila aibu nikaona mimi mpaka nikastop stream channel ya BBC World Service kwenye Tune In app ya simu yangu.
Unaweza kumsikiliza mwenyewe kwenye link hii hapa
www.bbc.co.uk

BBC World Service - World Business Report, Tanzanian wig tax angers women
Importers will be hit with 25% tax