Mimi namshangaa sana huyu mama, jina lake ni brand kubwa sana just imagine hiyo turnover ambayo angekuwa anaipata kama angefungua boutique yake pale sinza or anywhere else here in Dar es salaam. Sijui hana washauri huyu mwanamke? Aangalie wanawake wengine wanavyotumia majina yao makubwa kufanya biashara. Good example ni Dina Marious aliyekuwa mtangazaji wa clouds radio. Anapiga business balaa ya mafuta yake ya watoto. Au ndio kusema ameshalemewa na pesa za rahisi rahisi kutoka kwa wanaume wakware wahongaji!? This is pathetic!
Huyu Si ndio alidanganya kafunga ndoa
Atakua location tu
zinaishiaga hewani,ile ya superstar alisema eti muhindi hakufika dau,yeye alitumia million 68 na muhindi akataka kununua kwa bei ndogo.ndio maana haikutoka,!
Mi anachonikera mama ubaya uzuri anao lakini hajijui kama mzuri
Mwenzangu, we muache tu ajishaue, wenzie akina nisha na odama uko instagram wanazipa promo filamu zao, yani wanajitahid sana wale ila sio wema, yeye wanaume tuuu na kutafuta misifa ya kijinga, awaulize akina nora sasa ivi wako wapi
Yani atengeneze movie agome kuuza kisa dau si angeuza hata kwa hasara. Bongo movie bado haijafika kutengeneza movie kwa gharama hyo.
Ni mzuri na maarufu lakini hautumii Ku make money umri ukimtupa atakuja kuanza jutraaaaa.
Ahahaah ahaha kweli rafik yangu aiseh, wala hujakosea
Nampenda sana wema lakini haaminiki kwa stori zake
kwa hiyo na hili kasingiziwa?sio haaminiki watu huwa wanatunga uongo sana juu ya wasanii na kuvipost, interviews za wema hajasema ameolewa
huyo ndio mama ubaya bwana!rafiki yake na warumi