Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

Wiki iliyopita walisema Yanga kazuiwa kusajili, huyo waliompora alitakiwa kusajiliwa na Yanga ipi?
Sasa kwani amesajiliwa huyo jamaa? Halafu kufungiwa usajili kwa Yanga ni kwa sababu hawakumlipa yule kocha aliye waita manyani, lakini Aly Kamwe alishasema wiki hii wamemlipa, maana yake wanaruhusiwa kusajili kama wameshamalizana nae.
 
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utaweka wapi Sura yako kwani huyu Mchezaji ulimtambia mno kwamba ndiyo atavaa Jezi #6 ya Yanga SC na hatimaye ameshasinya na Simba SC.

Unaambiwa wakati Watu wa Yanga SC wakimuwahi kumpokea JNIA Terminal III Leo Saa 11 Alfajiri kumbe Wenzao ( Watu ) wa Simba SC Kimafia walimtuma Mtu huko huko alikotoka na akasafiri nae kwa Ndege na Kukaa nae Siti Moja na Kumtolea Mkataba na 'Kuusinyia' huko huko Angani na Kumaliza na Ndege ilipotua tu Mipuuzi ya Jangwani wakiwemo Marafiki zangu Bhinda na Motisha wakijiandaa Kumpokea na Kumbebea Mabegi wakamkosa kwani Yule Mafia wa Simba SC alimpitishia Mlango mwingine kisha akakuta Gari limeshaandaliwa na 'Faster' likaondoka na sasa Mchezaji huyo anayetokea nchi yenye Machafuko kutokana na Marafiki Wakubwa Kusalitiana yuko Kajipumzisha katika Hoteli Moja Kubwa Jijini Dar es Salaam yenye Sifa ya Kubadili Jina lake kila baada ya miaka Mitano au Saba au Kumi.

Kisasi cha Mbuyi Twite kimeshalipwa.

Kudadadeki....!!
bado mpo kwenye karne ya namna hii!!!kweli Yanga bingwa mpk 2023...
 
Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma angeenda utopolo sijui tungeishije,..talent plus dedication kubwa Sana aliyonayo..
Chini ngoma juu chama pembeni kibu d na onana wanafosi mbele saido na baleke Kuna watu wanaenda kula kumi
 
Labda atakuwa bingwa wa kutafuna mihogo. Lakini kama ni ubingwa wa NBC PL hilo kwa mwakani sahau. Mnyama tayari keshauwasha moto hakuna kulala.
Kuwatala mbumbumbu ni rahisi
Kwa akili hizi mo piga pesa
 
Fabrice Luamba Ngoma fundi wa Boli kiungo shoka kweli kwelii
 
Hizi habari za kua jamaa hua anaumia mala kwa mala ni zakwelj?
 
Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma angeenda utopolo sijui tungeishije,..talent plus dedication kubwa Sana aliyonayo..
Chini ngoma juu chama pembeni kibu d na onana wanafosi mbele saido na baleke Kuna watu wanaenda kula kumi
Takwimu za usajili wetu wa kiungo fundi.
IMG-20230705-WA0000.jpg

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Huyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?

Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
 
Simba hatuogopi kesi hilo ni suala dogo tu Ngoma ataitumikia Simba msimu ujao
 
Huyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?

Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
WAnaoshindwa kesi wanaelewekana tukianza kufatilia timu iliyolipa faini nyingi za kushindwa kesi fifa, CAS na TFF utopolo wanaongoza
 
Labda atakuwa bingwa wa kutafuna mihogo. Lakini kama ni ubingwa wa NBC PL hilo kwa mwakani sahau. Mnyama tayari keshauwasha moto hakuna kulala.
hamna lolote,mnatiwa matumaini tu na hizi propaganda ila ngoja kikianza kupigwa utaona tabu ipo pale pale
 
Huyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?

Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
Mambo ya Feisal
 
ℹ️ Fabrice Ngoma si mchezaji tena wa Al Hilal SC, imethibitishwa. Kesi kutoka kwa kilabu haitakuwa suala kwani FIFA tayari imetoa idhini lakini bado Hilal hatakata tamaa.

ℹ️ Yanga SC walikuwa wa kwanza kufanya mawasiliano na wakatoa fursa ya kumsajili Ngoma wiki kadhaa zilizopita kama ilivyoripotiwa. Mchezaji tayari alisema "ndio" lakini suala la marufuku kwenye TMS ya FIFA ilikuwa wakati yote yalibadilika.

ℹ️ Simba SC walichangamkia nafasi hiyo na Ku-𝐡𝐢𝐣𝐚𝐜𝐤 mchongo huo papo hapo.

ℹ️ Ngoma amepewa mkataba wa miaka miwili na sasa atacheza Simba.

ℹ️ Wazo la kucheza Ligi ya Mabingwa Afrika lilimvutia Ngoma (Africa Super League).

ℹ️ Fahamu: Ngoma atatangazwa kuwa mchezaji mpya wa Simba SC wiki hii.

ℹ️ Atakuwa sehemu ya kikosi kitakachokwenda Uturuki wiki ijayo kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya.

ℹ️ Tususbiri Episode ya Pili 🤝

Credit: Miky
 
ℹ️ Fabrice Ngoma si mchezaji tena wa Al Hilal SC, imethibitishwa. Kesi kutoka kwa kilabu haitakuwa suala kwani FIFA tayari imetoa idhini lakini bado Hilal hatakata tamaa.

ℹ️ Tususbiri Episode ya Pili 🤝
Simba na Yanga salakasi kibao kwenye usajili
 
Back
Top Bottom