Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

Tetesi za Fabrice Ngoma kutekwa na Simba

Washasema huko wala walikuwa hawana mpango nae, utafikiri sio wao waliomkatia tikiti ya ndege na kukesha eapoti na jezi namba 6
 
Ungempa credit Miky.

Jamaa ANAANDIKA ukweli MTUPU.

WACHAMBUZI wetu WA MCHONGO wanashinda kwenye Account yake kuchungulia.
 
Hizo sajili tuhifadhi maneno, mimi baada ya mechi kama tano hivi nitakuwa na cha kuongea maana hizi club zetu madalali kibao.
 
Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utaweka wapi Sura yako kwani huyu Mchezaji ulimtambia mno kwamba ndiyo atavaa Jezi #6 ya Yanga SC na hatimaye ameshasinya na Simba SC.

Unaambiwa wakati Watu wa Yanga SC wakimuwahi kumpokea JNIA Terminal III Leo Saa 11 Alfajiri kumbe Wenzao ( Watu ) wa Simba SC Kimafia walimtuma Mtu huko huko alikotoka na akasafiri nae kwa Ndege na Kukaa nae Siti Moja na Kumtolea Mkataba na 'Kuusinyia' huko huko Angani na Kumaliza na Ndege ilipotua tu

Mipuuzi ya Jangwani wakiwemo Marafiki zangu Bhinda na Motisha wakijiandaa Kumpokea na Kumbebea Mabegi wakamkosa kwani Yule Mafia wa Simba SC alimpitishia Mlango mwingine kisha akakuta Gari limeshaandaliwa na 'Faster' likaondoka na sasa Mchezaji huyo anayetokea nchi yenye Machafuko kutokana na Marafiki Wakubwa Kusalitiana yuko Kajipumzisha katika Hoteli Moja Kubwa Jijini Dar es Salaam yenye Sifa ya Kubadili Jina lake kila baada ya miaka Mitano au Saba au Kumi.

Kisasi cha Mbuyi Twite kimeshalipwa.

Kudadadeki....!!
Hio ndege imekua kama mnada sasa
 
Back
Top Bottom