Sasa kwani amesajiliwa huyo jamaa? Halafu kufungiwa usajili kwa Yanga ni kwa sababu hawakumlipa yule kocha aliye waita manyani, lakini Aly Kamwe alishasema wiki hii wamemlipa, maana yake wanaruhusiwa kusajili kama wameshamalizana nae.Wiki iliyopita walisema Yanga kazuiwa kusajili, huyo waliompora alitakiwa kusajiliwa na Yanga ipi?
bado mpo kwenye karne ya namna hii!!!kweli Yanga bingwa mpk 2023...Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utaweka wapi Sura yako kwani huyu Mchezaji ulimtambia mno kwamba ndiyo atavaa Jezi #6 ya Yanga SC na hatimaye ameshasinya na Simba SC.
Unaambiwa wakati Watu wa Yanga SC wakimuwahi kumpokea JNIA Terminal III Leo Saa 11 Alfajiri kumbe Wenzao ( Watu ) wa Simba SC Kimafia walimtuma Mtu huko huko alikotoka na akasafiri nae kwa Ndege na Kukaa nae Siti Moja na Kumtolea Mkataba na 'Kuusinyia' huko huko Angani na Kumaliza na Ndege ilipotua tu Mipuuzi ya Jangwani wakiwemo Marafiki zangu Bhinda na Motisha wakijiandaa Kumpokea na Kumbebea Mabegi wakamkosa kwani Yule Mafia wa Simba SC alimpitishia Mlango mwingine kisha akakuta Gari limeshaandaliwa na 'Faster' likaondoka na sasa Mchezaji huyo anayetokea nchi yenye Machafuko kutokana na Marafiki Wakubwa Kusalitiana yuko Kajipumzisha katika Hoteli Moja Kubwa Jijini Dar es Salaam yenye Sifa ya Kubadili Jina lake kila baada ya miaka Mitano au Saba au Kumi.
Kisasi cha Mbuyi Twite kimeshalipwa.
Kudadadeki....!!
Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma angeenda utopolo sijui tungeishije,..talent plus dedication kubwa Sana aliyonayo..Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utaweka wapi Sura yako kwani huyu Mchezaji ulimtambia mno kwamba ndiyo atavaa Jezi #6 ya Yanga SC na hatimaye ameshasinya na Simba SC.
Unaambiwa wakati Watu wa Yanga SC wakimuwahi kumpokea JNIA Terminal III Leo Saa 11 Alfajiri kumbe Wenzao ( Watu ) wa Simba SC Kimafia walimtuma Mtu huko huko alikotoka na akasafiri nae kwa Ndege na Kukaa nae Siti Moja na Kumtolea Mkataba na 'Kuusinyia' huko huko Angani na Kumaliza na Ndege ilipotua tu Mipuuzi ya Jangwani wakiwemo Marafiki zangu Bhinda na Motisha wakijiandaa Kumpokea na Kumbebea Mabegi wakamkosa kwani Yule Mafia wa Simba SC alimpitishia Mlango mwingine kisha akakuta Gari limeshaandaliwa na 'Faster' likaondoka na sasa Mchezaji huyo anayetokea nchi yenye Machafuko kutokana na Marafiki Wakubwa Kusalitiana yuko Kajipumzisha katika Hoteli Moja Kubwa Jijini Dar es Salaam yenye Sifa ya Kubadili Jina lake kila baada ya miaka Mitano au Saba au Kumi.
Kisasi cha Mbuyi Twite kimeshalipwa.
Kudadadeki....!!
Labda atakuwa bingwa wa kutafuna mihogo. Lakini kama ni ubingwa wa NBC PL hilo kwa mwakani sahau. Mnyama tayari keshauwasha moto hakuna kulala.bado mpo kwenye karne ya namna hii!!!kweli Yanga bingwa mpk 2023...
Kuwatala mbumbumbu ni rahisiLabda atakuwa bingwa wa kutafuna mihogo. Lakini kama ni ubingwa wa NBC PL hilo kwa mwakani sahau. Mnyama tayari keshauwasha moto hakuna kulala.
Takwimu za usajili wetu wa kiungo fundi.Fundi wa Mpira uyo Fabrice luamba ngoma angeenda utopolo sijui tungeishije,..talent plus dedication kubwa Sana aliyonayo..
Chini ngoma juu chama pembeni kibu d na onana wanafosi mbele saido na baleke Kuna watu wanaenda kula kumi
Leta na za mkude hapa aliepewa mil.50Takwimu za usajili wetu wa kiungo fundi.View attachment 2678837
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
Simba hatuogopi kesi hilo ni suala dogo tu Ngoma ataitumikia Simba msimu ujaoHuyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?
Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
WAnaoshindwa kesi wanaelewekana tukianza kufatilia timu iliyolipa faini nyingi za kushindwa kesi fifa, CAS na TFF utopolo wanaongozaHuyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?
Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
hamna lolote,mnatiwa matumaini tu na hizi propaganda ila ngoja kikianza kupigwa utaona tabu ipo pale paleLabda atakuwa bingwa wa kutafuna mihogo. Lakini kama ni ubingwa wa NBC PL hilo kwa mwakani sahau. Mnyama tayari keshauwasha moto hakuna kulala.
AkpanOkwa umemuweka wapi mkuu
Mambo ya FeisalHuyo Ngoma , Lamine Jarju na Ibrahim Imoro si wameshatakiwa FIFA na timu yao AL HILAL ya Sudan kwa kusepa bila kufuata taratibu?
Simba au Yanga kama mnatak kumsajili kuweni makini itakula kwenu.
Simba na Yanga salakasi kibao kwenye usajiliℹ️ Fabrice Ngoma si mchezaji tena wa Al Hilal SC, imethibitishwa. Kesi kutoka kwa kilabu haitakuwa suala kwani FIFA tayari imetoa idhini lakini bado Hilal hatakata tamaa.
ℹ️ Tususbiri Episode ya Pili 🤝