AiseeIshu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.
Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel
Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]
This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.
He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.
His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.
Netanyahu is DEAD
View: https://x.com/i/status/2032542518181572943
View attachment 3557705View attachment 3557706
Kwasasa Iran kivyovyote iwe Netanyahu kafa au bado yupo !!!Huyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.
Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo
US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe
Muda utasema.
Propaganda hizo Mzee ,, Israel hawwajajibu maana inajulikana ni ujinga tuHuyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.
Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo
US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe
Muda utasema.
Propaganda za kitotoSo ile video clip Aliyopost kuwa anaongea ni AI kweli !? 😁
Yeah tusibiri vyombo vya habari vya uhakikaNgoja mda utasema Kam n kweli coz Ile video s mlisema n Ai, Amna Siri chin ya jua
Kaa Kwa kutulia Mjomba Unaumia ukiwa wapi !?Propaganda za kitoto
Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha
Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho
ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣
Amejitokeza wanasema ni AI
Tulieni pole pole Acha kuumiaPropaganda za kitoto
Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha
Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho
ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣
Amejitokeza wanasema ni AI
Naye ni Mwanadam anakufa kama wengine.Propaganda hizo Mzee ,, Israel hawwajajibu maana inajulikana ni ujinga tu
Hizo screenshot ni fabricated
Shida huku hakuna AI ya kukanusha na kuwasaidieni kama X ilivyo community notes
Ndio maana mandanganywa tu
Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah KhomeiniIshu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza