Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza

Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.

Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel

Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]

This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.

He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.

His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.

Netanyahu is DEAD


View: https://x.com/i/status/2032542518181572943
UPDATE:14 march 2026:Netanyahu ashindwa kutokea kwenye kikao cha baraza la mawaziri cha kujadili hali ya kidharura ya usalama
⛔️The Confirmation ⛔️⛔️

🚨BREAKING: NETANYAHU MISSING AT ISRAELI SECURITY BRIEFING FOR THE FIRST TIME⚠️‼️
💥Israel's Defense Minister Israel Katz Led Today's Security Briefing- Bibi Was Noticeably Absent‼️
💥Rumors have been swirling that Netanyahu was killed in a March 9th strike.

View attachment 3557705View attachment 3557706

IMG_20260314_221907.jpg
IMG_20260314_221929.jpg
IMG_20260314_222000.jpg
IMG_20260314_222019.jpg
 
Unajua mpaka sasa Iran imerusha makombora mangapi?
Idadi ya makombora yaliyo rushwa yana uhusiano na huko kurusha hovyo.
Wao ndo watengeneza hayo makombora na wao ndo wanajua jinsi yanavyo fanya kazi na jinsi ya kuyatumia hivyo acha ujuaji.
 
Huyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.

Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo

US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe

Muda utasema.
Vipi akija Kiongozi mwingine mwenye kupenda mauaji kuliko nentanyahu
 
Idadi ya makombora yaliyo rushwa yana uhusiano na huko kurusha hovyo.
Wao ndo watengeneza hayo makombora na wao ndo wanajua jinsi yanavyo fanya kazi na jinsi ya kuyatumia hivyo acha ujuaji.
Hili jibu 🤣
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Netanyahu ilikua lazima apate hii dhahma maana lile tukio la kupiga mabomu hospital ya watoto Gaza ilikua ya kikatili sana wacha atangulie tu kwanza ili Dunia iwe salama alikua anadanganyana na Trump wakati mwenzie analindwa na siraha za gharama sana..
 
Nyinyi kila siku ni tetesi tu.
Kama sio kweli
Sasa umeuliza google then ukacopy na kupaste😂😂. Kuna matukio kadhaa yanayodhihirisha Metanyahu is gone!
-footage iliyokuwa released ya Netanyahu akitoa speech ile ni AI tena ina makosa kibao kuna kipengelele anaonekana ana vidole 6😂
-Bunker iliyokuwa inawahifadhi security officer ililipuliwa baada ya location ya netanyahu kujulikana alivyokwenda kutembelea athari zilizotokea na hajaonekana tena. Sio kawaida yake Netanyahu kuwa offline mda mrefu hivi
 
Kama sio kweli

Sasa umeuliza google then ukacopy na kupaste😂😂. Kuna matukio kadhaa yanayodhihirisha Metanyahu is gone!
-footage iliyokuwa released ya Netanyahu akitoa speech ile ni AI tena ina makosa kibao kuna kipengelele anaonekana ana vidole 6😂
-Bunker iliyokuwa inawahifadhi security officer ililipuliwa baada ya location ya netanyahu kujulikana alivyokwenda kutembelea athari zilizotokea na hajaonekana tena. Sio kawaida yake Netanyahu kuwa offline mda mrefu hivi
Kuna namna kibao ya kufanya confirmation, too bad mimi si shabiki na yoyote anayepigwa au anayeuawa ni poa tu. Hapo ukiangalia kuna references za Reuters na Al-Jazeera unless kama na wao tukiamua kuwatilia mashtaka. Kikubwa ambacho huwa naangalia(though anyone can lie) ni chanzo na kujiuliza kama hicho chombo ni credible kwa kiasi gani. Kwa wale wenye ushabiki kuji-console kwa what could be hoax fabrications ni ujinga uliopitiliza na kufa kwa mtu wa calibre ya Netanyahu hakuwezi kufichika na kila chombo cha habari duniani kitatamani kuwa ndiyo cha kwanza kurusha habari hizo same na akifa/akiuawa Trump, those are very big, powerful and influential personalities on a global scale. Mtu yoyote mwenye huo ushahidi hata kama ni ndugu anaweza kuuza habari hiyo kwa pesa ndefu kama anaweza kuambatanisha na ushahidi.
IMG_20260315_004552.jpg
IMG_20260315_004805.jpg
 
Netanyahu yuko wapi? Galloway ashangazwa na video yake ya Akili Mnemba

Mar 14, 2026 08:05 UTC

[https://media]

Kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi Uingereza, George Galloway amesema video ya hotuba ya Benjamin Netanyahu iliyotengezwa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) inaibua masuali mengi kuhusu kitendawili cha aliko Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Galloway amesema video hiyo ya AI iliyogubikwa na kasoro nyingi ikiwemo Netanyahu akiwa na vidole sita imeibua masuali mengi bila majibu, baada ya kutoonekana kwa muda mrefu nduli huyo wa vita wa Israel.

Katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa X kuhusu video hiyo bandia ya Netanyahu, Galloway ambaye amewahi kuwa Mbunge katika Bunge la Uingereza ameandika: Je hili limefanyika kweli? Kwa nini Israel ilisambaza hotuba ya Akili Mnemba ya Netanyahu usiku uliopita, ambapo Waziri Mkuu huyo ameonekana dhahiri akiwa na vidole sita? Yuko wapi (Netanyahu)? Yuko wapi Ben Gvir?

Galloway ameshangazwa pia na hatua ya vyombo vya habari vya Magharibi ya kufumbia macho video hiyo bandia ya Netanyahu na kutouliza masuali mazito kuhusu aliko mtawala huyo wa Israel.

Netanyahu hajaonekana hadharani wala kusambaza hotuba zake za video kwa siku kadhaa sasa, tangu vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viliposhadidisha mashambulizi ya kulipiza ya kisasi ya Ahadi ya Kweli ya 4.

Siku chache zilizopita, uvumi ulienea kwenye mitandao ya kijamii kwamba yumkini Netanyahu na maafisa kadhaa wa serikali yake wameangamizwa au kujeruhiwa vibaya katika hujuma za makombora ya Iran.

Hivi karibuni, tovuti ya Middle East Minitor iliandika makala ya uchambuzi kuhusu mashambulizi ya kichokozi ya Marekani na utawala wa Kiziayuni wa Israel ikisema kuwa vita hivi ambavyo Benjamin Netanyahu amejiandaa kwa ajili yake kwa miaka mingi yumkini vikapelekea kutengwa kisiasa na kuporomoka stratejia yake.

Kingine kinachobua masuali kuhusu uzima wa Netanyahu ni kufutwa ghafla safari ya Jared Kushner (mkwe wa Rais wa Marekani) na Steve Witkoff, Mjumbe Maalumu wa Donald Trump katika eneo la Asia Magharibi, ambao walitazamiwa kwenda Israel na kukutana na Netanyahu
 
Kuna namna kibao ya kufanya confirmation, too bad mimi si shabiki na yoyote anayepigwa au anayeuawa ni poa tu. Hapo ukiangalia kuna references za Reuters na Al-Jazeera unless kama na wao tukiamua kuwatilia mashtaka. Kikubwa ambacho huwa naangalia(though anyone can lie) ni chanzo na kujiuliza kama hicho chombo ni credible kwa kiasi gani. Kwa wale wenye ushabiki kuji-console kwa what could be hoax fabrications ni ujinga uliopitiliza na kufa kwa mtu wa calibre ya Netanyahu hakuwezi kufichika na kila chombo cha habari duniani kitatamani kuwa ndiyo cha kwanza kurusha habari hizo same na akifa/akiuawa Trump, those are very big, powerful and influential personalities on a global scale. Mtu yoyote mwenye huo ushahidi hata kama ni ndugu anaweza kuuza habari hiyo kwa pesa ndefu kama anaweza kuambatanisha na ushahidi.View attachment 3558036View attachment 3558037
HIyo ya kucopy na kupaste ndio staili yako ya kujibu hoja? Anyway Netanyahu is Down Time Will Tell
 
HIyo ya kucopy na kupaste ndio staili yako ya kujibu hoja? Anyway Netanyahu is Down Time Will Tell
It's more likely kwa Ayatollah Mojtaba Khamenei kuwa amedanja zaidi ya BB Netanyahu though I'm not disputing any possibilities.
 
Back
Top Bottom