Ni tetesi Ndugu usichukulie Kiviile
Yaani Unaichukulia Kwa uzito utasema katajwa Babako Mzazi
View: https://x.com/i/status/2032708758246404223
Iran hana intelejensia ya kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel AvivAnaweza kufa pia kama wa Iran alivyouwawa, mabomu si yanatua pia Israel? Lolote linawezekana ndo maana hakai kizembe zembe.
Ayatollah hakutaka kukimbia kifo ndiomana kafia kwenye Ikulu yake inayotambuliwa. Mbona uyu Dogo mtoto wake mmeweka pesa$$💰 Mezani!! Dogo kijana bado anataka kupambanaHata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini
Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu
Ni aibu sana
Kama mabomu yanatua ndani ya Israel, na yupo ndani ya Israel inawezekana kutokea.Iran hana intelejensia ya kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv
Hii rumor ya Netanyahu kuuwawa ni sawa na ile ya Mafwele kuliwa kiboga.
Kama mabomu yanatua ndani ya Israel, na yupo ndani ya Israel inawezekana kutokea.
Kwamba ni wajinga kama viongozi wa Iran?Kama mabomu yanatua ndani ya Israel, na yupo ndani ya Israel inawezekana kutokea.
Na sio kuwa na silaha tu, lazima uwe na intelejensia ya hali ya juuKiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.
Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.
Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Ya kwamba Iran anarusha makombora hovyo hovyo.Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.
Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.
Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Ya kwamba Iran anarusha makombora hovyo hovyo.
Ww jamaa una ujuaji mwingi mpaka unaharibu.
Kwasababu ndio Miungu yenu ya HabariTetesi zingetolewa na NYT,CNN
Hivi uchungu huo Unaweza Uonyesha hata kwa mzazi wakoTetesi kivipi ?
Unawalisha watu matangopori
Mkiumbuliwa mnasema tetesi
Endelea kuwadanganya makobazi
Ile video ina mashaka,kuwa na vidole vitano,sita hapana,ila zoom kinywa chake akiongea, dental formula inabadilika, halafu hiyo video ni kijana sanaSo ile video clip Aliyopost kuwa anaongea ni AI kweli !? 😁
Naona unamtetea shoga yako NYAUPropaganda za kitoto
Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha
Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho
ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣
Amejitokeza wanasema ni AI
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.
Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel
Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]
This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.
He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.
His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.
Netanyahu is DEAD
View: https://x.com/i/status/2032542518181572943
View attachment 3557705View attachment 3557706