Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
SHEIKH MTOPEA AMETANGAZA LEO JIONI MSIKITINI... KWA KWELI TUNASHANGILIA SANA....
Hapana lo mapigano sio poaa
Wanyoshane tu...Hapana lo mapigano sio poaa
Maneno ya kijinga ya kujifaraji tuAyatollah hakutaka kukimbia kifo ndiomana kafia kwenye Ikulu yake inayotambuliwa. Mbona uyu Dogo mtoto wake mmeweka pesa$$💰 Mezani!! Dogo kijana bado anataka kupambana
Mzee Ayatollah miaka 87 kutembea na Gongo bado ulitaka akimbie kufa Shahidi!! Ili akafie kitandani.!!
TRUMP na Netanyahu
kimsingi wamekosa maarifa ya kiuwongozi so wameuziwa mbuzi kwenye gunia. Kizembe zembe!!
Nukuu Mzee Ayatollah miaka 87 !!!
Bado Wazungu mnawasujudia kwa Akili izi.
View attachment 3557972
Wazee wa kuhesabu vidole tus🤣🤣🤣🤣
Unaweza kurusha mabomu hovyo na ukaua kiongozi mkubwa bila hata target. Ni probability hiyo, game of chance, kwamba itokee tu wakati bomu linatua sehemu A na kiongozi awepo sehemu A.Kiintellejensia hiyo taarifa haiwezi kuwa na ukweli wowote.
Huwezi mpiga kiongozi mkubwa wa nchi kama Israel au Marekani kwa kurusha rusha makombora hovyo.
Lazima uwe ma target, muda sahihi na silaha inayoweza kufanya kazi hiyo kwa weledi.
Bomu hata kama limerushwa hovyo kama limefika haliachi kulipuka sababu kuna kiongozi ambaye warushaji bomu hawakujua kama yupo hapo, litalipuka tu na kuua. Ndo maana nikakuambia inawezekana akafa as long as yupo ndani ya Israeli na mabomu yanafika Israeli. Ni itokee tu bomu litue sehemu ambapo na yeye kumbe yupo.Kwamba ni wajinga kama viongozi wa Iran?
Iran hata kuua balozi wa nyumba kumi wa Tel Aviv haiwezi
Anaogopwa kubabuliwa na magaidiKwanini ukipewa nafasi muda huu ukaishi Marekani,Canada na nchi za magharibi au ukaishi uarabuni, unakimbilia USA na magharibi?
Unaogopa nini
Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini
Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu
Ni aibu sana
Shambulio la kuvizia halina ujanja.mtu yeyote anaweza kudhurika.kikubwa utawala wa khomenei bado unaendelea .Hata kama ameuwawa hajafa kizembe kama Ayatollah Khomeini
Yaani makelele yote Yale
Unaliwa kichwa dk ya kwanza tu
Ni aibu sana