AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Haya sawa gaidi Khamenei, wanasemaje hapo Iran?ni ruksa kuniita hivyo ukitaka
Haya sawa gaidi Khamenei, wanasemaje hapo Iran?ni ruksa kuniita hivyo ukitaka
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.
Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel
Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]
This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.
He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.
His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.
Netanyahu is DEAD
View: https://x.com/i/status/2032542518181572943
View attachment 3557705View attachment 3557706
Masuala ya vita kuisha huwa yananikera sana. Inatakiwa nchi moja ibaki majivu kabisa ndio vita iisheMimi sitaki vita iishe
Tunasubir kumzika kiongozi ila uzuri umeelewa kuwa wote ni magaidiHaya sawa gaidi Khamenei, wanasemaje hapo Iran?
Kwanini?Masuala ya vita kuisha huwa yananikera sana. Inatakiwa nchi moja ibaki majivu kabisa ndio vita iishe
Gaidi Khamenei, umeelewekaTunasubir kumzika kiongozi ila uzuri umeelewa kuwa wote ni magaidi
Uliongea nae mara ya mwisho alikwambiajeVita Ina mambo mengi sana, propaganda inatumika kudanganya uma. Jamaa hajafa.
Watu wahuni sana, eti Khamenei ni gaidi ila Netanyahu anayeuwa kila siku anapigania taifa lake.ni ruksa kuniita hivyo ukitaka
Member wa Jf tuna ubishi waajaabu umemuelekeza vizur tu ila alikuwa anakaza fuvuWatu wahuni sana, eti Khamenei ni gaidi ila Netanyahu anayeuwa kila siku anapigania taifa lake.
Iran kubwaaaa sn kieneo utapiga milima ukija mijini zaidi kuna vijumba tu !!!Iran inajititimua tu ila inapigika hasa. Kwa sasa hata ceasefire ikiwepo tayari kapigika vya kutosha.
Mlikuwa naye akikanushaNetanyahu ni mzima wa afya, amekanusha uvumi kuwa kafa
Tuwekeee ushahidi mkuu?Netanyahu ni mzima wa afya, amekanusha uvumi kuwa kafa
Hhm🤣🤣 Kwa kweli sijawahi kunywa , lakini ikiwa confirmed nitakunywa for the first time
Iran kubwaaaa sn kieneo utapiga milima ukija mijini zaidi kuna vijumba tu !!!
sasa Israel tunashusha Magorofa marefu. Yumkin ukweli unaujua.!!!
Duh! Una maslai nayo mkuu! Wenzio kuna vijimizigo vyetu uchwara vimekwama kuja bongo, Meli hamna ya kuleta....hapa njaa tu,Bora vita viisheMimi sitaki vita iishe
unahisi Netanyau ana mwili wa chuma?au hatokufa we mlokole wa matombo!Duh kumbe Jf bado kuna mazuzu?