Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Ila nyie watu wa dini Ile kwa propaganda tu hamna mpinzani. Bahati nzuri wazungu washawajua nyie ni mwanamke kijora...! Maneno meeeengi bila vitendo
Wao wanapiga mwizi kimya kimya. Kipigo kikikolea utaona wanavyoanza kutia huruma na hashtag za free Iran
 
Najua Netanyahu. kafa pamoja na Kakayake!
lkn ndani ya Israel kuna siku tutaambiwa Netanyahu kujiuzulu upi PM ndio imetoka iyooooo kumuhusu Netanyahu.. !¿¿¿

Mnakumbuka kuusu Ariel Sharon. PM wao!!! Tukaambiwa kujiuzulu lkn yupo OK 👍 kumbe anaoza kitandani!!!
Madaktari Wamemuekea Mashine ya kupumua lengo asife mwisho kaanza kuliwa na wadudu palepale kitandani!!!!
 

Attachments

  • 1773266485754.jpg
    1773266485754.jpg
    39.6 KB · Views: 18
Kwasasa Iran kivyovyote iwe Netanyahu kafa au bado yupo !!!

bado Iran itaendelea naVita tu mpaka kieleweke tukumbuke chimbuko lote ni kuhusu PALESTINE

Sio Netanyau tu.
Iran inajititimua tu ila inapigika hasa. Kwa sasa hata ceasefire ikiwepo tayari kapigika vya kutosha.
 
Propaganda za kitoto

Pro Iran wameuliwa viongozi wao karibu wote ,Motjaba anajificha

Hivo wanataman sana Waue hata balozi wa nyumba kumi wa Israel kitu ambacho Iran hana uwezo nacho

ili kujifariji wanazusha Netanyau kafa🤣

Amejitokeza wanasema ni AI
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anaulizwa kuwa, Iran ilisema ina makombora yanayofika US, mbona hawayarushi? Anajibu kuwa kushambulia bases za US inatosha kabisa. Hawa watu ni waongo sana.
 
Waziri wa mambo ya nje wa Iran anaulizwa kuwa, Iran ilisema ina makombora yanayofika US, mbona hawayarushi? Anajibu kuwa kushambulia bases za US inatosha kabisa. Hawa watu ni waongo sana.
Wanaonewa huruma ila hawajihurumii, mimi nawahurumia sana Iran Wazee unajua mtu mwingine anaweza akawa ananiona km nakua tofauti ila huruma yangu ni kwa Iran sababu anapambana na Jitu na yeye ni Kijitu, sasa nikifikiria hapo naona nakosa kabisa cha kusema na watu wanaipump Iran kwamba ina nguvu oya ikishapasuka hawa hawa watu ndio wataanza kulia kwamba Iran inaonewa
 
Back
Top Bottom